Acha hizo tangu lini mbeya city akawa mtani..Kila la kheri Mtani. [emoji120]
🤔🤔Kila la kheri Mtani. 🙏
Kwanini wanacheza rafu sana ?Hivi wana Simba wenzangu kwanini wapinzani wetu mara nyingi wanadhoofishwa kwa kadi nyekundu au sisi kupewa penati? Nimefatilia toka kuanza kwa ligi paka leo karibu mechi zote lazima mpinzani wetu alimwe red card au tunapewa penati.. hii imekaaje wanasimba wenzangu
Mnaoangalia,vipi ni penati??
Bocccoooooooondiyo penalt