CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] muhimu, nilimpata MISUNGWI mwaka 2006 najiandaa kwenda 833 KJ Oljoro Arusha.Boss tunaomba no za mganga wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] muhimu, nilimpata MISUNGWI mwaka 2006 najiandaa kwenda 833 KJ Oljoro Arusha.Boss tunaomba no za mganga wako
ni wapi ambapo Bocco anavunjiwa heshima?yaani kumtoa kasoro ni kumvunjia heshima. mpira wake unaonekana. nyinyi ni watu msiotazama mpira au mnatoa tathmini kwa kuangalia misimu ya nyumaTuache mihemko
BOCCO apewe HESHIMA yake
Mfumo mzima wa timu umefeli pakubwa
Watu wako pungufu halafu tunakaa kulia na mtu mmoja tu?
Timu nzima imecheza hovyo sana
sina la kusema leo maana hata formation aliyoingia nayo mwalimu ni mbovuKweli barbra angeingia angefaa zaidi
Eehh goaaaal kibu mabange anatusawazishia palee.
Cha nguruwe mkuuNisaidie kuna habari gani mjini?
Kama maneno yangekuwa ni mkuki [emoji16][emoji16][emoji16]Mnyama mkali Simba sc tafuna hao Mbeya city.
SIMBA NGUVU MOJA
SIMBA BINGWA
Tayari mkuuMadokta tushatia maguu unyakyusani
Mbeya city wajichagulie bega
akitaka heshima lazima afanye vizuri ,dunia nzima mchezaji kiwango kikiisha anaachwa kwa maslahi ya timu na siyo heshima ya kumwingiza uwanjani,wamweke Kama sehemu ya benchi la ufundi ndo heshima mbona mgosi anapewa heshima na ni kocha wa Simba QueensTuache mihemko
BOCCO apewe HESHIMA yake
Mfumo mzima wa timu umefeli pakubwa
Watu wako pungufu halafu tunakaa kulia na mtu mmoja tu?
Timu nzima imecheza hovyo sana
Kweli tumfukuze na mudi kama vipi wanatuharbia teamsina la kusema leo maana hata formation aliyoingia nayo mwalimu ni mbovu
Tulibwino kai, zikuyenda?[emoji1787][emoji1][emoji3][emoji16][emoji38][emoji12][emoji23][emoji848]
[emoji1787][emoji1][emoji3][emoji16][emoji38][emoji12][emoji23][emoji848]
[emoji1787][emoji1][emoji3][emoji16][emoji38][emoji12][emoji23][emoji848]
[emoji1787][emoji1][emoji3][emoji16][emoji38][emoji12][emoji23][emoji848]
[emoji1787][emoji1][emoji3][emoji16][emoji38][emoji12][emoji23][emoji848]
makolo muli bwanji
🤣🤣Sawa Leo tumepoteza tutajipanga Kwa mechi ijayo.
Pongezi kwenu vyura Kwa Leo mmejitahidi kutusagia kunguni.
Mkuu, unaweza kuongeza sauti kidogo! [emoji51][emoji51]Tukutane apa baada ya dakika 90'
Mtani unaongea na simu. Amaa. 😅😅Huyu Pablo kumbe ni mjinga huvi
Ewaaaa.Haya kila mtu ashinde mechi zake, halafu tupigiane mahesabu mwisho wa siku.
Nakubaliana na wazo la kumpa Boko heshima anayostahili. Lakini heshima si lazima abaki Simba. Kumtoa Kwa mkopo Kwa timu rafiki ni heshima pia, kumuuza Kwa timu rafiki huku akiambiwa ajifumze ukocha ili aje aisaidie timu nbaadaye kama Matola na Mgosi ni heshima pia.ni wapi ambapo Bocco anavunjiwa heshima?yaani kumtoa kasoro ni kumvunjia heshima. mpira wake unaonekana. nyinyi ni watu msiotazama mpira au mnatoa tathmini kwa kuangalia misimu ya nyuma
Wanajielewa wenyewe. Kama umo na wewe utajijua tuWamatopeni ndiyo kina nani?