Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

Tuache mihemko
BOCCO apewe HESHIMA yake

Mfumo mzima wa timu umefeli pakubwa
Watu wako pungufu halafu tunakaa kulia na mtu mmoja tu?
Timu nzima imecheza hovyo sana
ni wapi ambapo Bocco anavunjiwa heshima?yaani kumtoa kasoro ni kumvunjia heshima. mpira wake unaonekana. nyinyi ni watu msiotazama mpira au mnatoa tathmini kwa kuangalia misimu ya nyuma
 
Tuache mihemko
BOCCO apewe HESHIMA yake

Mfumo mzima wa timu umefeli pakubwa
Watu wako pungufu halafu tunakaa kulia na mtu mmoja tu?
Timu nzima imecheza hovyo sana
akitaka heshima lazima afanye vizuri ,dunia nzima mchezaji kiwango kikiisha anaachwa kwa maslahi ya timu na siyo heshima ya kumwingiza uwanjani,wamweke Kama sehemu ya benchi la ufundi ndo heshima mbona mgosi anapewa heshima na ni kocha wa Simba Queens
 
[emoji1787][emoji1][emoji3][emoji16][emoji38][emoji12][emoji23][emoji848]

makolo muli bwanji
Tulibwino kai, zikuyenda?
 
Nawakumbusha SIMBA, Game 2 zijazo ni VS MTIBWA SUGAR Ugenini then KAGERA SUGAR ugenini.
Katika game hizo mbili Simba ataangusha point 2 au 3.
Nina uhakika na hili.
 
Wanasimbaa wenzanguu hapa hatuna kocha wala timuu yanga sio level yetu kabisaa sisi level yetu ni mbao fc.
 
ni wapi ambapo Bocco anavunjiwa heshima?yaani kumtoa kasoro ni kumvunjia heshima. mpira wake unaonekana. nyinyi ni watu msiotazama mpira au mnatoa tathmini kwa kuangalia misimu ya nyuma
Nakubaliana na wazo la kumpa Boko heshima anayostahili. Lakini heshima si lazima abaki Simba. Kumtoa Kwa mkopo Kwa timu rafiki ni heshima pia, kumuuza Kwa timu rafiki huku akiambiwa ajifumze ukocha ili aje aisaidie timu nbaadaye kama Matola na Mgosi ni heshima pia.
Kiwango cha Boko, Mugalu na Kagele limeshuka Sana. Haikuwa sahihi timu kubaki na flops 3 Kwa wakati mmoja.
 
Back
Top Bottom