Mbeya: Mdude Nyagali aachiwa huru na Mahakama baada kutotiwa hatiani katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya

Mbeya: Mdude Nyagali aachiwa huru na Mahakama baada kutotiwa hatiani katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya

Ila yule Mdude ana lugha kali sana, inabidi ajifunze au watu wa karibu yake wamuelekeze namna ya kukosoa kwa staha...

Bahati kama hizi huwa haziji maea mbili...
 
Mdude sasa hivi kazi yake itakuwa ni kusifia Samia tu
Hata Mimi na familia yangu tunamsifia na kumuombea Rais wetu Samia Suluhu Hassan. Kama Mimi nafanya hivyo basi ujue Mdude na familia take ni mara 1000.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Mtu kama ana kosa na mahakama ikaona ana kosa anafungwa, sio kupigania
hujui sheria ni Kama game,unaweza ukarambisha dume,hata Kama ulikuwa ulambe jike!!.so ni muhimu kusimama na mtu,ili kumpa sapoti hsijalishi ako na situation gani.
 
Sabaya ni mwizi/ jambazi sugu! Mkimrudisha tena uraiani, itawalazimu kukesha usiku kucha.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Natoa wito huu kwa Serikali ya awamu ya 6, kwamba wote walioshiriki kumtesa Mdude ambao bila shaka wanafahamika , wakamatwe haraka sana na kushitakiwa Mahakamani

Ni muhimu sana kwa Chalamila na kundi lake akiwemo RPC wa Songwe na RPC wa Mbeya , Biswalo Mganga (mnyororo ni mrefu) wakamatwe na kushitakiwa ili kuimarisha utawala wa sheria nchini Tanzania, ni muhimu watu hawa kukamatwa ili kuepusha wananchi kujichukulia sheria mkononi kwa lengo la kulipa kisasi.
Mbona unapoteza muda wako Kaka?
 
Ila jamaa ameteseka sana sana
A dreamer be the one  A winner be the one  A fighter be the one.jpg
 
Mwendazakee anaazidikulia huko aliko dah
Mamaanashinda na OV 6+ betting mnaelewa
Leo Juni 28, 2021 Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imemuachia huru Mdude Nyagali baada ya kutomkuta na hatia katika kesi iliyokuwa ikimkabili ya kusafirisha madawa ya kulevya...
 
Hii inaonesha umuhimu wa katiba mpya. Kwa katiba ya sasa rais anawezafanya lolote apendavyo yeye hata kutuuza au kuua bila kibano chochote. Mm nadhani katiba ya haki na inayoheshimu haki za binadamu na utu na isiyoweka mazingira ya kiongozi kufanya apendavyo ndiyo nzuri.

Kwa sasa kila chombo cha wananchi ni lazima kufuata atakavyo rais ambapo ni jambo zuri lkn si hata kama rais avunja katiba au sheria.

Kwa kuwa hakuna adumuye ni heri kama nchi ikaachwa salama kwa katiba nzuri. Nyerere, mkapa na jpm wamekufa. Wazee mliopo lifanyieni taifa urithi wa katiba mpya ya haki na utu na mifumo mizuri.

Nguvu ya umma ni sanduku la kura. Sasa kama umma unamchagua mtu halafu matokeo kupinduliwa kinyume na umma .Hii nini? Ninini? Ninini?! . Mm naona ni dharau kubwa kwa umma.

Kizazi cha leo ni cha mambo kunyoka, kuwa wazi na haki. Hata ukipata nafasi yoyote hata urais inakuwa ni bahati tu kwani wengi huwa na sifa sawa au hata kumzidi aliyepata nafasi. Sasa kwa kuwa wengi hutaka lkn nafasi ni moja au finyu aliyepata lazima aogope, aheshimu na kuwa mzalendo kwa umma.

Rais wetu na wazee mliopo turithisheni kizazi hiki na kijacho katiba mpya nzuri. Mambo ya maslahi ya vyama kama ccm yawekwe kando. Vyama huja na kupita inchi huendelea!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa hivi akipitia yale matusi kwenye account yake atakuwa anajuta sana!

Sasa hivi ni full adabu
Dada naskia umepata mp matundu yote mawili baada ya taarifa ya mdude
 
Mafanikio ya Samia ni habari mbaya sana kwa Lisu maana 2025 hana chake tena.

Ccm itaendelea kupeta

2025 Samia atashinda kwa 99%
Msimpotoshe mama wa watu,acheni apige kazi,kazi zake ndizo zitakazo m judge abaki au tuweke mgombea mwingine.
 
Jah ametenda makuu kwa mja wake. Abarikiwe San ktk maisha yake mapya ya uraiani. [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Leo Juni 28, 2021 Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imemuachia huru Mdude Nyagali baada ya kutomkuta na hatia katika kesi iliyokuwa ikimkabili ya kusafirisha madawa ya kulevya...
NAMWONA RC MTEMGULIWA MB AKIPATA CHOOO KIGUMU GAFLAA
 
Back
Top Bottom