Mbeya: Mwalimu aua mke na watoto wawili, naye ajiua kwa kunywa sumu

Duuu una mawazo potofu wewe kijana eti watalelewa na nani,kenge kweli

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
kuwauwa watt sio sahihi kabsa mkuu. lakn pia usi underate mateso wanayopitia watt yatima. kama haijawai kukupata ww au mtu wako wa karibu shukuru mungu..Kuna mambo ukiyasikia wanafanyiwa mayatima ww mwenyewe utakubali kwamba ni heri wangeungana na wazazi wao uko akhera.
 
Kuna nini jamani!! Kwanini hali hizi binadamu tunaanza kuzizoea!!?? Hata wanyama hawana!??

Whats wrong!?
 
Kutokana na ugumu wa maisha, binadamu wamekuwa na hasira za karibu karibu
 
Baada ya miaka kadhaa ijayo ndoa itakuwa taasisi hatari sana
 
Leo hata Spika katoa maoni kama niliyotoa mimi hapa!
 
Haujakutana na mke pasua kichwa anakupa msongo wa mawazo mpaka unakuwa chizi fresh
Victoire ametoa jibu sahihi, hayo ni matatizo ya akili. Mtu mwenye akili timamu hawezi kufanya hivyo, hata sababu iwe kitu gani.

Kumbuka, wagonjwa wa akili wako wengi tunaishi nao, hatuna ujuzi wa kuwagundua wala teknolojia ya kuwatibu.

Ukiiangalia picha ya huyo muuaji vizuri, jinsi alivyokunja sura, ni kama wanavyofanyaga watu walioko mirembe.
 
Mmejuaje kama muuaji ni mwanaume?
 
Picha zaidi…



 

Attachments

  • a435611c-6d14-4e1f-b395-a62582e6089b.jpg
    51.2 KB · Views: 3
Ushauri wangu kwa vijana.
Usioe mwanamke mzuri, nenda Makete au Katavi ukapate mke mchapakazi na mwenye kujiheshimu.

Jitahidi kuoa flat screen maana Hawa sio rahisi kutongozwa. Njoo Marangu upate jiko linalojituma.
Kwahiyo huko makete na Katavi ndiko kuna wanawake wabaya?
 
Aisee ni kweli. Mishahara miwili ndani ya familia moja ni pigo ktk mahusiano endelevu.
 
Hizi taarifa ifikie mahali wasituambie naona zinapromote ushetani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…