Mbeya: Mwalimu wa Shule ya Loleza Girls afunga Bweni na kuwalaza Darasani Wanafunzi

Mbona alikuwa sahihi
 
Ni kweli ....

Ila ndo tusiwatwishe walimu mizigo isiyokuwa yao...

Wasije wakatuachia wenetu.
 
Kama aliyekuwa anadinywa angekuwa ni binti Yako ndio ungeuona vizuri umuhimu wa RC kuwepo kwenye hilo tukio.
 
Loleza girls ina manyanyaso sana toka miaka hiyo,
HayajaAnza leo.
Kuna muda mwalimu anamkalisha mtoto nje asbh mpaka jioni kwenye mvua aiseee ni unyama.


Naongea nikiwa na uhakika wa kutosha,, I've been there for yrs.
Sijui watu wa IYUNGA watasemaje🤣🤣

Maana pale ndio kabisaaaa.

Sema wakizinguliwa sana huwa wanajibu kwa vitendo sio kususa.

Kuna mkuu wa shule alishawahi fukuzishwa cheo bado kidogo apigwe makofi na wanafunzi😅 hadi mkewe analia anamuombea msamaha🤣
 
Huyo ni Mimi,km mzazi wako kashindwa kukunyoosha baasi Mimi siwezi poteza mda,Siku hizi mitandao ndo mahakama zetu
Kitu kidogo wamerusha unajikuta unaingia matatizoni afu wakuu WA Shule waoga sana ujue wanawaruka sana walimu wao
Kila mtu apambane na hali yake yaan ufanye makosa huko mimi nikutetee kwan huna akili???

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mimi ni mzazi, na mwanafunzi wa zamani ninayeelewa mazingira ya wanafunzi na waalimu yalivyo.

Wanafunzi wanapaswa kufuata maagizo na masharti ya waalimu wao. FULLSTOP.

Otherwise tunatengeneza jamii ya ajabu kuwahi kutokea.
Ishatengenezwa na hawa wanasiasa uchwara kila mtu apambane na hali yake

Mzaz mfundishe mwanao nidhanu dunia imevaa chupi sasa hivi shaur yako

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Daaah wamewasha moto kweli
Dawa nikuyaacha yafundishwe na dunia basi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Au usalama!!
Hawa watu wamezagaaa kila sehemu nyie mnadhani mwalimu mwenzenu kumbe undecover[emoji3526][emoji3526]!!
Usalama waende shuleni ndo wawe wanafuatilia mlolongo wa utoaji wa adhabu kwa wanafunzi??bas kazi ipo. Hawana majukumu ya maana ya kufanyaa au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…