[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tena wakae kwa kutulia!Tutaelewana tu kidogo kidogo, tofauti ya mtawala na kiongozi! Mwisho mtachagua tu mazishi au kusafirisha
Huyu atakuwa mkwamia away take pendwa,namkumbusha tu atafakari achukue hatua.Umeandika ushuzi tupu
Kawani bado umekwamia Cremia,hujuikama kuna daraja la kuvukia Russia.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tena wakae kwa kutulia!
Nashauri hao majambazi waongeze juhudi ili mzunguko wa hela uongezeke mtaani bavicha wawe wanajiokotea hela.
Na waongeze juhudi ili kuwakomoa mataga, sukuma gang na marehemu
Tulia wewe!Hii hali jamani mamlaka iangalie, mdogo wangu mmoja home boy wamemvamia usiku wa Leo na kumuumiza anapoelekea hospital ya rufaa...si sawa hali hii kiukweli tulishaisahau nini shida mpaka irudi kwa speed kubwa hivi??
Wewe ni kama kenge mpaka sikio litoke damu!Unajuaje mtoa hela alikuwa hana siri kuwa anachukua hela leo? Conclusion yako ni wrong
Acha undezi wa darasa la tatu unajua sio kweli inakupa faraja gani wakati unajua si kweli kabisa. Could be matatizo ya kisaikolojia ambayo ni trendy jf..mama mama dahMuulize mama yako enzi akiwa girlfriend wangu akuambie wakati anakuja home nilikuwa naishi wapi... mwanamke mwenye busara yule ilikuwaje akaja akazaa poyoyo?
Wayaripoti kitu ambacho hakipo?! JF inafurahisha sana eti matukio ya ujambazi watu waliogopa kuripoti....kwahiyo hata jf mlishindwa kuriport!!!
unafiki na mtoto wa kike havipendezi.
Wanaomsifia huyu mama na machadema na yote ni ili kumkomoa marehemuSio ataonekana hatoshi mpk mda huu huku mtaani nazungumzia wananchi wa tabaka la chini ambao ndo 80% ya watanzania washamchoka popularity ya huyu mama ni humu tu JF na kwenye sosho media nyingne trust me ingawa ntapondwa sana na kuonekana ni pro magufuli but to be honest haswa kitendo cha LUKU kimemharibia credit nyingi sana mazaa...!!!
Naungo hojaTupo pmja kiongozi jamaa hta mm nilikuwa simkubali kbsa lkni kwenye ujambazi alifanikiwa kuwadhibiti Askari wake wasishirikiane na majambazi maana hili lipo wazi wezi ni hao hao Askari
Kwani na wewe Jambazi.kwani umeshafanya ukafanikiwa.Wanaomsifia huyu mama na machadema na yote ni ili kumkomoa marehemu
Tulia wewe! Hawa majambazi yanarudisha hela mtaani ili bavicha muwe mnaziokota na kikubwa zaidi wanawakomoa sukuma gang, mataga na marehemuKwani na wewe Jambazi.kwani umeshafanya ukafanikiwa.
Acha kuwaonea wivu,kama wanafurahi siwao,wewe ulitaka waishi kama mashetani.Wanaomsifia huyu mama na machadema na yote ni ili kumkomoa marehemu
hahah. wewe pia hukuruhusiwa kutangaza Jf? acha uhuni wewYalikuwepo wala sio kuwa kwa sababu ya JPM nikwa sababu walikuwa hawatangazi.Mimi nilimpoteza my sister mwaka.juzi alikuwa anachukua ametoka kuchukua fedha pale.kibo complex.Wakati kwa JPM walikiwa hawaruhusiwi kutangaza ila matukio yalikiwepo sana tu
Nani kakwambia anaona wivu?Acha kuwaonea wivu,kama wanafurahi siwao,wewe ulitaka waishi kama mashetani.
Unavyowashambulia.Nani kakwambia anaona wivu?
Nmemshambulia nani?Unavyowashambulia.
Matehemu alikua mwehu kama wewe,punguani wewe n ushabiki wako wa kindezi,forakooWanaomsifia huyu mama na machadema na yote ni ili kumkomoa marehemu
Unaosema wanataka waokote hela mtaani.Nmemshambulia nani?