Mbezi beach, Dar: Jimson Kibiki, apigwa risasi na Majambazi wakati akitoka benki kuchukua hela, wamnyang'anya Mil 4

Mbezi beach, Dar: Jimson Kibiki, apigwa risasi na Majambazi wakati akitoka benki kuchukua hela, wamnyang'anya Mil 4

Tutaelewana tu kidogo kidogo, tofauti ya mtawala na kiongozi! Mwisho mtachagua tu mazishi au kusafirisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tena wakae kwa kutulia!

Nashauri hao majambazi waongeze juhudi ili mzunguko wa hela uongezeke mtaani bavicha wawe wanajiokotea hela.

Na waongeze juhudi ili kuwakomoa mataga, sukuma gang na marehemu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tena wakae kwa kutulia!

Nashauri hao majambazi waongeze juhudi ili mzunguko wa hela uongezeke mtaani bavicha wawe wanajiokotea hela.

Na waongeze juhudi ili kuwakomoa mataga, sukuma gang na marehemu
Kawani bado umekwamia Cremia,hujuikama kuna daraja la kuvukia Russia.
 
Muulize mama yako enzi akiwa girlfriend wangu akuambie wakati anakuja home nilikuwa naishi wapi... mwanamke mwenye busara yule ilikuwaje akaja akazaa poyoyo?
Acha undezi wa darasa la tatu unajua sio kweli inakupa faraja gani wakati unajua si kweli kabisa. Could be matatizo ya kisaikolojia ambayo ni trendy jf..mama mama dah
 
Sio ataonekana hatoshi mpk mda huu huku mtaani nazungumzia wananchi wa tabaka la chini ambao ndo 80% ya watanzania washamchoka popularity ya huyu mama ni humu tu JF na kwenye sosho media nyingne trust me ingawa ntapondwa sana na kuonekana ni pro magufuli but to be honest haswa kitendo cha LUKU kimemharibia credit nyingi sana mazaa...!!!
Wanaomsifia huyu mama na machadema na yote ni ili kumkomoa marehemu
 
Kwani na wewe Jambazi.kwani umeshafanya ukafanikiwa.
Tulia wewe! Hawa majambazi yanarudisha hela mtaani ili bavicha muwe mnaziokota na kikubwa zaidi wanawakomoa sukuma gang, mataga na marehemu
 
Yalikuwepo wala sio kuwa kwa sababu ya JPM nikwa sababu walikuwa hawatangazi.Mimi nilimpoteza my sister mwaka.juzi alikuwa anachukua ametoka kuchukua fedha pale.kibo complex.Wakati kwa JPM walikiwa hawaruhusiwi kutangaza ila matukio yalikiwepo sana tu
hahah. wewe pia hukuruhusiwa kutangaza Jf? acha uhuni wew
 
Wahusika bank, nani alijua anafuata hela nyingi?? Au watu wake wa karibu! Yupo mmoja mwenye kinasaba cha Juda-is-carrot.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Back
Top Bottom