Mbezi beach, Dar: Jimson Kibiki, apigwa risasi na Majambazi wakati akitoka benki kuchukua hela, wamnyang'anya Mil 4

Dogo kama analipa mafundi?au ananunua vitu kwenye maduka ya kawaida?
 

Ujielewi
 
kuanza 2016,ujambazi wa silaha ulikoma kabisa.mpaka watu wakaanza kuona hakuna sababu ya askari kuzurula na silaha mtaani.

sababu ni moja,ulikuwa ukikamatwa na silaha haijasajiliwa bro,siku mbili mbele tutakuta likiroba limefungwa kama furushi.
'Kiroba limefungwa kama furushi' !!!
Ilikuwa moja ya staili za wasiojulikana ambao pia walitumika kuwasulubu wapinzani, wakiwa orchestrated na utawala.
Kwa nini tusifikiri kuwa haya ya ujambazi unaotokea sasa yanakuwa oragnised na watu wale wale ambao kwa sasa wako kwenye inner cycle ya mama , wakiwa na lengo la kumhujumu?
 
Sad
 
Lazima alaumiwe mana hachukui hatua stahiki amfukuze IGP kama mfano ... mbona Magu aliweza na palitulia
 
tukifikiri hivyo tunaondoa tatizo kwa kujifunika shuka usoni tusilione.
tofauti ya jambazi na mwanaharakati mhuni ni 0 idarani.
 
Nitakuwa mtu wa mwisho kulihusisha tukio hili na ujambazi. Nachokiona hapo mimi ni kisasi kilichohusisha na uporaji.
 
Hapana, Ukweli ni kwamba viongozi wa Jeshi la Polisi wengi wanamdharau mama, Mama anaenda kuwaomba ushauri hao Mapolisi wakati JPM yeye alikuwa mtoa Order kuwa sitaki jambo flani kama ujambazi, uuaji n.k na linafanyiwa kazi

Sasa hapa ni kama wanamwona mama yupo simple and not serious na hafuatilii

Mama alipaswa kuwa mkali hasa kama tu JPM kwa hii miaka miwili ya mwanzoni baadae ndio alegeze kidogo.
 
JWTZ ni malaika?.
 
UKWELI MTUPU
 
Haya mambo ya kuishi kwa kuvizia vizia na bila amani hayafai kabisa kuchukuliwa kirahisi, Polisi wahakikishe wahalaifu hawa wanakamatwa na kufikishwa mahakamani. Poleni sana wafiwa nq Vodacom maana nimesikia redioni wanasema jamaa alikuwa ni Meneja wa Mauzo na Masoko wa Vodacom Tanzania.
 
Kumbe unaleta ushabiki wa vyama.

Mimi sina Chama chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…