Lucas philipo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2017
- 2,039
- 2,676
Duh!! Sikutarajia kuona comment kama hii, forsure nime like kwakweli!!Mama akija kushituka, itakuwa teyari too late wacha aendelee kuwakumbatia.
Dawa yao ni kuwapa wale vyuma tu....Halafu katika zama hizi bado watu wanashindwa kutumia technology kufanya manunuzi? Haina haja ya kwenda bank kuchukua mzigo mkubwa ,wa nini? Kama unaenda kununua kiwanja,gari or malipo yeyote si unafanya bank transfer? Kama vimilioni viwili au vitatu si unatransfer tu kwenda kwenye mobile? Usiangalie gharama jali uhai.
Dogo kama analipa mafundi?au ananunua vitu kwenye maduka ya kawaida?
Haya mambo ya uporaji tulikuwa tunayasikia kipindi Cha Awamu ya nne ya Kikwete sasa yamerudi tenaAfande sina cha kueleza, taarifa zinajitosheeza hapa chini!
View attachment 1792209
Tukio la kusikitisha limetokea leo mchana maeneo ya Juliana Mbezi beach ambapo Jimson Kibiki amefariki baada ya kupigwa risasi.
Kutokana na vyanzo vya mashuhuda Jimson alivamiwa alipokuwa ametoka bank na kuporwa na majambazi kiasi cha fedha ambacho mpaka sasa hakijajulikana.
Baada ya kupigwa risasi alipatiwa huduma ya kwanza na kusaidiwa kufika kituo cha afya lakini baada ya kufika hospital akapoteza maisha.
Jeshi la polisi bado linaendelea na uchunguzi na tutaendelea kukujuza kila kinachoendelea.
Na juzi nimewakumbusha tuanze kuchanga hela za kulipa mkopo wa i-putueli walio kopa standard chartered bank MalaysiaPia tukumbushane tu hivi kesi zilizofutwa hivi karibuni ni kweli za kubambikiwa au kuna vimeo nao vimetumia Mwanya
Acha tuNuru mpaka muda huu aamini kilichomtokea mumewe.
Maeneo gani tuchukue tahadhari au tuweke ulinzi shirikishiHii hali jamani mamlaka iangalie, mdogo wangu mmoja home boy wamemvamia usiku wa Leo na kumuumiza anapoelekea hospital ya rufaa...si sawa hali hii kiukweli tulishaisahau nini shida mpaka irudi kwa speed kubwa hivi??
Yaani na wewe unajiona unajua kuandika? Hebu soma hayo matakataka yako uone ulivyo mjinga kuliko neno lenyewe.Kuandika kwenyewe hujui, unakaa standard seven material uliejifunza kutumia smart phone [emoji336], vijana bwana , tuna vijana wa hovyo sana nchi hii, ila nashukuru Mungu ni wachache kama wew
Waanze na teller aliyemuhudumia wakifatilia call watapata jibuKuna banker kauza ramani.
achana na huyo anabisha vitu asivyovijua. huyo mama kweli alipigwa risasi akiwa anatoka bank na mwanae wa kike. wezi walimfuatilia mpaka anafika nyumbani kwake getini. ni nyuma ya hosp ya RabinisiaSio.kweli matukio yalikiwepo hata wakati.wa.JPM tumepoteza ndugu zetu nyamaza kabisa.Hakuna mtu wala.chombo cha habari walikuwa wanatangaza .Ni kama Corona tu tuliaminishwa hakuna ila watu wanakufa tu
Nishakutana nao ha ,mara nyingi wanaambiwa wafungue account kwanza....na wanafungua maana wanashida ya kuuza shamba.hujakutana babu anauza shamba lake hana hata account na hana mpango anataka uje cash .
au wanauA shamba la urithi
maana hapo hapo inapigwa pasu kugawana na familia
kuepula kubwba cash bongo bado sana kwa hi transaction zetu za wenyewe kwa wenyewe
Ni kweliKuna banker kauza ramani.
Naijua hii story ya huyu mamaYalikuwepo ,ni vile walikiwa hawaruhusiwi kusema .I lost my sister hapo kibo complex alichukua fedha na kupigwa risasi na alifariki.Nina mwingine namjua alikoswa koswa risasi ikapita juu ya Bega.
Huwezi jua kwa matumizi gan, Kuna sehemu utahitaji cash in hand kufanya malipo ndo maana Kuna mda watu wanatoa na kutembea na cash.Dawa yao ni kuwapa wale vyuma tu....Halafu katika zama hizi bado watu wanashindwa kutumia technology kufanya manunuzi? Haina haja ya kwenda bank kuchukua mzigo mkubwa, wa nini? Kama unaenda kununua kiwanja, gari or malipo yeyote si unafanya bank transfer? Kama vimilioni viwili au vitatu si unatransfer tu kwenda kwenye mobile? Usiangalie gharama jali uhai.
Walifanikiwa kukuuwa!?Mimi nimevamiwa na kuporwa na majambazi kipindi cha jpm nyie mnaotaka kusema utawala wa ankol akukuwa na haya matukio mshindwe. Ujambazi ulikuwepo na utaendelea kuwepo ata nchi apewe Rambo.
Acha hizi ngonjera.....Watu wa meko wanamhujumu mama
Wewe kufa ukaungane na Magufuli tu,his time is gone na hakuna namna isipokua ukubali tu Tanzania ina raisi mwingine.
Fani yako ni hii hapa kwenye siasa hapakufai mkuu!Kuna k laini hazikauki hata upige bao 3 fresh tu unatoka bila kuchubuka,Kuna zingine zimekomaa ndani kama unasugua kipande cha jiwe round 2 mwisho. Kuna k zinazungumza na dyudyu yani inanena kabisa kuna sauti zinatoka huko ukiikuna vizuri, nyingine no matter what you do ni kimya tu . Kuna k ikipiga bao ina squirt,inakaba mashine kama roba ya mbao,nyingine akojoe au asikojea hupati feedback kwa dick[emoji24][emoji24][emoji24].