Munambefu
JF-Expert Member
- Jun 24, 2012
- 2,811
- 7,200
Nani amekuulizaNasikia Mboyee yuko Mahututi tena Chemistry ya Astra zeneca imegoma muda si mrefu parapanda la Mboye katili jizi na tapeli la HI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani amekuulizaNasikia Mboyee yuko Mahututi tena Chemistry ya Astra zeneca imegoma muda si mrefu parapanda la Mboye katili jizi na tapeli la HI
Eti Ee!? Hata wapita njia na Kigogo pia hawakuripoti matukio yaraia wema wakiporwa pesa na kuuawa mchana kweupe kwa miaka 5+ ya JPM? Au ni "sukima gang" wanamhujumu mama?Unafikiri huo uliisha. Tatizo ilikuwa nani atathubutu kuripoti?
Watu wasilalamike awamu hii ni kubembelezana. Polisi wabembelezeni hao majambazi. Msiwakaripie tumieni demokrasia. Awamu hii ni yamaelewano na mshikamano.Huyo mwehu anajifanya kumtaja Magu sahizi! Atulie aache mapepe si walidai mama atatuvusha! Kama disko ndio kwanza saa 4 usiku sahizi
Chumvi ni muhimu kwenye chakula10,8,4?????
Enzi za JPM kuna mtumishi wa umma alikuwa anapita hapa kwangu saa 12 kamili Sharp na baiskeli yake ya Avon akienda kazini, siku hizi anapita saa mbili kwenda na saa saba mchana tunakutana machimboni, hahahaha! Natamani kurudi kwenye ajira mimi!mkuu kwa kifupi sasa hivi hii nchi haitishi. kila mtu haiogopi, majambazi, matapeli, mabeberu, wafanyakazi wa umma. wote poa tu
time will tell
Miaka mitano iliyopita kiliwazuia nini hao uliowahita inside job? Kwann mara hii wamekuja kwa kasi?Sawa, suppose mtoa hela aliwaambia washikaji atakwenda kutoa bilioni moja benki, je aliwaambia ni benki gani? Huu mchongo ni wa wafanyakazi wa benki wenyewe, unaitwa inside job na usikute hata bunduki waliazima toka jeshini au polisi.
Kima tunajua hayo, tuache tupigwe tu risasiMilioni 8 ama 10?
Jambo la pili, kuhamisha pesa kiasi chochote kutoka bank moja hadi nyingine ni elfu kumi tu.
Usitembee na pesa zote hizo unahatarisha maisha yako kwa gharama ndogo sana ya elfu 10 tu.
Sasa jamaa anachukua 8M bank moja anaenda nayo bank nyingine badala ahamishw kwa only 10k tu.
Sio.kweli matukio yalikiwepo hata wakati.wa.JPM tumepoteza ndugu zetu nyamaza kabisa.Hakuna mtu wala.chombo cha habari walikuwa wanatangaza .Ni kama Corona tu tuliaminishwa hakuna ila watu wanakufa tu
Miaka Gani?Hilo tukio usikie tu
Siku moja Masaki kule,kijana mdogo tu wa kihindi aliuliwa mbele ya baba yake. Wote tunaangalia.
Walikua na Bureau de Change pale Sea Cliff Village.
Yule kijana alikua sio mchovu pia anapigana kick boxing na kila kitu,
pale alikua likizo tu maskini anamsindikiza babaake majambazi wakamuuwa mbele yake wakapora fuko la pesa wakaondoka nalo.
Ni kwamba dogo alitoka na gun awathibiti majambazi akatulizwa.
Yule baba yake alilia akapiga magoti kwenye damu ile kama anaswali, Akaondoka hakurudi tena pale Sea Cliff Village miaka hiyo.
Sasa balaa kuna kakaake na huyo dogo alieuwawa Mafia vilevile.
Alianza nao hao nyumba kwa nyumba, ni moto tu,sijui aliua wangapi ninamkumbuka JB aliuliwa Sinza pale kijiweni, ila hapo walikua washaondoka wengi tu.
Yule muhindi alilipiza kisasi mbaya kabisa,
Nilikua mteja wao na nnafanya kazi mitaa hiyo,
So alikua ananionyesha picha kabisa,
"Jana tumelala mbele na huyu, kesho huyu tunammaliza"
Waliuliwa majambazi wote wa5 jumla
Ooooh amekuja Farao asiyemjua Yusufu. Kwa sauti ya mzee wa upakoAfande sina cha kueleza, taarifa zinajitosheeza hapa chini!
View attachment 1792209
Tukio la kusikitisha limetokea leo mchana maeneo ya Juliana Mbezi beach ambapo Jimson Kibiki amefariki baada ya kupigwa risasi.
Kutokana na vyanzo vya mashuhuda Jimson alivamiwa alipokuwa ametoka bank na kuporwa na majambazi kiasi cha fedha ambacho mpaka sasa hakijajulikana.
Baada ya kupigwa risasi alipatiwa huduma ya kwanza na kusaidiwa kufika kituo cha afya lakini baada ya kufika hospital akapoteza maisha.
Jeshi la polisi bado linaendelea na uchunguzi na tutaendelea kukujuza kila kinachoendelea.
Mods huyu kilaza threads zake zote ni za kumshambulia na kumdhalilisha Rais Samia jee mna ubia nayePolisi Dar es salaam imetangaza msako mkali wa Majambazi waliosababisha kifo cha Kijana Jimson Kibiki baada ya kumpiga risasi wakiwa kwenye purukushani za kumpora pesa maeneo ya Mbezi Beach.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum DSM Camilius Wambura amesema "tukio lilitokea jana saa saba na nusu mchana alikua ametoka Benki Mikocheni alikochukua kama milioni 8 akaelekea kwenye Benki nyingine Afrikana nafikiri kulikua na matatizo ya kibenki pale kwahiyo akatoka kuelekea nyumbani maeneo ya Juliana"
"Alikua ana milioni nne kwenye mifuko yake ya suruali na milioni nne nyingine kwenye bahasha ndipo alipokutana na hilo tatizo, Watu hao wadhaniwao kuwa Majambazi walimpiga risasi tumboni, akapelekwa Hospitali Mbezi beach kwa huduma ya kwanza baadae Muhimbili ndiko alikofariki"
"Wale ni Watu ambao wameua, lile ni tukio la mauaji.. taarifa ya Polisi ni kwamba tuko mbioni kuwatafuta na kuhakikisha tumewapata na kuchukua hatua za kisheria dhidi yao, kwenye tukio hilo walichukua milioni 4 na kuondoka nazo" ——— RPC Wambura.
Sasa si ulisema Magufuli ni dikteta, imekuwaje tena?Mama akija kushituka, itakuwa teyari too late wacha aendelee kuwakumbatia.
2000+ hukoMiaka Gani?
Umesahau kutia tangawiziHilo tukio usikie tu
Siku moja Masaki kule,kijana mdogo tu wa kihindi aliuliwa mbele ya baba yake. Wote tunaangalia.
Walikua na Bureau de Change pale Sea Cliff Village.
Yule kijana alikua sio mchovu pia anapigana kick boxing na kila kitu,
pale alikua likizo tu maskini anamsindikiza babaake majambazi wakamuuwa mbele yake wakapora fuko la pesa wakaondoka nalo.
Ni kwamba dogo alitoka na gun awathibiti majambazi akatulizwa.
Yule baba yake alilia akapiga magoti kwenye damu ile kama anaswali, Akaondoka hakurudi tena pale Sea Cliff Village miaka hiyo.
Sasa balaa kuna kakaake na huyo dogo alieuwawa Mafia vilevile.
Alianza nao hao nyumba kwa nyumba, ni moto tu,sijui aliua wangapi ninamkumbuka JB aliuliwa Sinza pale kijiweni, ila hapo walikua washaondoka wengi tu.
Yule muhindi alilipiza kisasi mbaya kabisa,
Nilikua mteja wao na nnafanya kazi mitaa hiyo,
So alikua ananionyesha picha kabisa,
"Jana tumelala mbele na huyu, kesho huyu tunammaliza"
Waliuliwa majambazi wote wa5 jumla
Kipindi Chake Hata Hao Inside Jobs Walidhibitiwa, Kulikua na Waraka Kabisa kuhusu Wafanyakazi Waaminifu, Hata Kwenye Hizo Taasisi BinafsiMiaka mitano iliyopita kiliwazuia nini hao uliowahita inside job? Kwann mara hii wamekuja kwa kasi?