Mbinu ya Maisha kwa vijana: Kataa Mwanamke Masikini

Unazungumzia umaskini wa mali au wa fikra Mkuuu??
Hizo ni fikra za kimaskini nivile huna hela
 
Umemaliza mkuu!
 
Mmh umepigavkwenye mshono, wanawake wetu wanavyoamini kwenye kuhudumia na sio kugawana bill lazima wakusakame.

Kwangu mimi ni tofauti kidg, Mwanamke masikini na sio mbinafsi maisha ni saaafi ila ukutane na mbinafsi anayeamini kuwa yeye ndio wa kuhudumiwa tu hela yake ni yake hapo unakua uneula wa chuya.
 
Acha kulaza akili kijana ni uvivu unakusumbua. Mtoto wa kiume changamka pambana sio usubiri kupambaniwa

Suala hapo sio kupambaniwa, ni kuwa na kiumbe anayeweza kujipambania…. sio hamna hamna kabisa.
 
Baadhi wanaangukia humo, sema unakuta kweli familia ipo njema kiasi kwamba wewe unahisi kuwa unfit kuingia humo.

Kuoa familia tajiri unatakiwa uwe vizuri sana upstairs, au uwe mjinga kupitiliza ili mambo yaende. Sisi wenye average minds hatuwezi kudeal na familia tajiri.
 
Mwanaume anaoa mwanamke ili amtunze. Mpaka hapo wewe siyo mwanaume tafuta kundi lako haraka!
Wanawake wasasa hivi nao wamepata fursa kwenye kazi tena nzuri tu na ni 50/50 inaelekea kukamilika kikamilifu inamaana nao Wana uwezo wakuhudumia na baadhi washaanza kuonekana Sasa yanini kutaka kumbebesha MWANAUME zigo lote yakusukia, ya nguo,yaVOCHA,ya kijola,ya mama anumwa Sasa pesa yao wanaipeleka wapi wanawake nao ni lazima wabadilishe mtazamo wao Kwa hao ambao hawajabadilika

Mtu anakuwa na kazi nzuri lakini Bado anawaza kumchuna MWANAUME
 

Hii ndio kauli ya kiume, shem unatumia kinywaji gani?
 
Mm sikubali dada yangu aolewe na mwanaume maskini. Maskini ni tatizo jamani, ukijiona maskini achana na kuwaza kuoa. Ukishakua maskini unakosa akili, mawivu, kuwaza kumzalisha hovyo binti ili ujijengee utawala kwake. Kiufupi umaskini ni laana kwenye ukoo.
 
Makasiriko ya Nini? Tafuta tu pesa!
 
Mimi niliangalia uwezo wake kichwani, "intellect". Tunataka kurithisha wtoto wetu kila kitu kuanzia uwezo wa kufikiri na kupambanua mambo. Ukioa bila kuangalia uwezo wake kiakili huenda ukarithisha vitu vya ajabj kwa vizazi vyako.

Sura, trako na memgineyo hayana nafasi kwenye ndoa!
 
Hahaha mserereko nikipata kwa demu wangu hakuna ubaya... ija dume kulelewa na dume ndipo kuna ubaya. By the way wewe ni choka mbaya tu. Ptuuu[emoji38][emoji38][emoji38]

Stress hizo [emoji23][emoji23][emoji23] kuna mwenzio aliwekewa taarabu na mkewe kisa kulelewa
 
Nas wanawake wawakatae makapuku kama wewe mnyonyaji unayetafuta kula bure nyambaff
 
jamaa hujamwelewa siyo kumkataa labda upige usepe ila siyo kwa malengo ya kuoa

Kaka acha uchawi, okoka ufike mbinguni. Unakazia nisiolewe khaaaa! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…