digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Huyo asikupotezee muda,weka kwenye ignore list,ana wehu fulani utadhani mbwa jike liko kwa heat periods ,hawezi kutazama mambo kwa angle pana zaidi,yeye ni ushabiki wa kijinga tu.Mimi nakwambia ukweli, mama mtu mzima unataka kujifanya Binti wa miaka ishirini. Punguza pumba.
El nino hiyo. !It is a sign that we have to change...kuna mahala mambo hayako sawa
Hanang nayo je alikuweko huyoDuu Arusha yetu nayo? Mbona kaja na mibalaa yake huyu.
Kuna ile clip ya mchungaji fulani alisema dar kufikia 23 mwezi wa nne itazama yote.Imeshatangazwa kuanzia tarehe 12/04 itakuwa full mafuriko kila mahali
Sasa wale wajinga wanaizungumzia bwawa la nyerere ati limeleta mafuriko wana akili kweli. Naona wapimwe akili kwani ni mikoa 12 mafuriko makubwaDuu Arusha yetu nayo? Mbona kaja na mibalaa yake huyu.
Kwani Arusha yote iko mlimami? Zaidi ya Meru?Mji uliopo milimani unapata mafuriko? Wafunge na kuomba toba. Kuna balaa hapo. Si bure.
Kuna bwawa la mbege lilijengwa kipindi cha magufuli limevunja kingo zakeππππππππππππKuna mdau kauliza "kuna bwawa gani limefunguliwa huko" linaloleta mafuriko?
Ipo shimoni.Kwani Arusha yote iko mlimami? Zaidi ya Meru?
Kwa hiyo kayaleta yeye?ππππHayo ndiyo mambo ambayo Mheshimiwa ARA C anapenda yatokee ili apate kuchukua point 3 za ugenini.
Mkuu pole sana πππMimi nakwambia ukweli, mama mtu mzima unataka kujifanya Binti wa miaka ishirini. Punguza pumba.
Watu wa arusha walikuwa bize kuwapokea wanasiasa,tahadhari zingine walizisahau
Any way poleni wana arusha
Ova