Mbona majanga kila Mahali? Arusha nayo yakumbwa na mafuriko, magari yasombwa

Bora hata ulivyokoment maana nilikuwa nakutafuta sikuoni, nikajua ni ile yako πŸ˜…
Njiro imenyesha mvua kubwa sana.
Lakini maji yamepita,, tumeamka nje pako salama.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ningekuwa nimo ndani kuna defence mechanism moja mwal flan alinifunza. Ningeijaribu πŸ₯ΉπŸ₯Ή

Ila kama haumo basii tena, kinaenda.
 
Njiro si ushuani maji mmeyaelekeza yakaelekezeka.

Defence gani hiyo tufundishe huenda tukaisaidia jamii.
 
Makonda anakaribishwa.
 
Njiro si ushuani maji mmeyaelekeza yakaelekezeka.

Defence gani hiyo tufundishe huenda tukaisaidia jamii.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ acha basi hizo mambo.

Sijawahi ijaribu. Sijui ufanisi wake, ila ukiwa kwenye maji… maji yakafunika bampa yakaanza kufikia na pua ya gari. Hakikisha mguu wako usitoke hata kdg kwenye accelerator.
Kanyagia hiyo wese uwezavyo itapeleke gari kutoa hewa nje na bla bla za kifundi hapo basi hutoyumbishwa nadhaniπŸ˜‚πŸ˜‚

Ni maneno ya mwal
Si yangu. πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu Kimavi kiko na wazazi wako walioshindwa kukulea kwa maadili ambayo yangekuweka katika hali ya kuheshimu viongozi wa nchi yako,poor you
Muuaji kama makonda hastahili heshima yoyote yule anachostahili ni hukumu ya kunyongwa hadi afe. Wewe nawe una kimavi ndiyo maana maisha yamekushinda hadi umeishia kuwa chawa ili mkono uende kinywani. Ungekuwa na maisha bora usingekuwa chawa masikini wa akili na mali wewe
 
Mkuu Kimavi kiko na wazazi wako walioshindwa kukulea kwa maadili ambayo yangekuweka katika hali ya kuheshimu viongozi wa nchi yako,poor you
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba Bashite naye anastahili heshima. Bashite kweli ni laaana aisee
 
Kamnyonge sasa,keyboard warrior,kama unaushahidi wa tuhuma zake peleka mahakamani
 
Attachments

  • Screenshot_2024-02-29-07-56-10-583_com.android.chrome~2.jpg
    108.8 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…