Huyo utajiri unaupima kwa kuangalia nini? Nyie watanzania sijui lini mtapata akili, mtu mwenye duka la kuuza mafuta ya kula na sukari robo unataka kumfananisha na mfanyabiashara wa dhahabu, almasi, samaki na mambo ya uvuvi, pamoja na kilimo ikiwemo mazao ya kilimo... Punguzeni ujinga na kuishi maisha ya kukariri.KABILA TAJIRI NI WACHAGA TU KWA SBB YA KUWA NA IQ KUBWA kila mkoa ndio wanafanya vizuri hao wengine walilie makaratasi yao
Wasukuma wana akili zipi za darasani?Wakuuu za sahizi,
Kwenye safari yangu ya elimu nime bahatika kukutana na wasukuma na wahaya wengi kwanzia shule za msingi mpaka saivi chuoni
Lakini jambo linalo nishangaza ni kuwa hawa jamaa wana akili mingi sana za darasani wengine hata hawasomagi ila combi ngumu ngumu kama PCM NA PCB wanabutua 1 za maana O level ndo usiseme kabisa mkuuu,,,,
Kuna mmoja alikuwa mpaka anamfundisha mwalimu [emoji38][emoji848][emoji848] just imagine aseee
Anaejua historia yao naomba anijuze maana inashangaza sana
Hii imekaaje aseee mbona hawa watu wamejaaliwa hivi sana Mungu.
View attachment 2614449
Toa wapare toa wachaga hao ni watu wamagashi tu, huwezi kulinganisha na msukuma na mhaya hata siku moja, kama ulisoma CBE hapo sawa wachaga wamejaa pamoja na vyuo vya mipango miji lakini programme ngumu mpe msukuma na mhaya.Kwangu binafsi.
1, Wapare
2, Wahaya
3, Wachaga.
Level zote nilizopita kwa class langu wapare ndo wali/wanaongoza kwa kutunyoosha kitaaluma.
Wewe kabila lako lina akili zipi darasani na mtaani kwenye kusaka fursa.Wasukuma wana akili zipi za darasani?
Achana na hilo jinga.Kwan Tanzania mbona tuna almost kila kitu lakin bado ni maskini wa kutupwa..
Mimi naongelea kwa upande wa makazi, huduma za kijamii kama elimu shule, vyakula nk...mfano wilaya ya muleba huko uhayani ina hospital tano...ni wilaya ya pili nchini kwa shule za msingi nyingi baada tu ya moshi vijijini..vijiji vingi vinafikika...nyumba za nyasi au udongo ni kama hazipo kabisa.....watoto wote wanasomeshwa shule nzr nk nk...
Ukiwa umesoma TIA na CBE na shule za Arts huwezi kuwajua wasukuma wala wahaya wewe endelea kusoma hotel management ukakutane na hayo makabila yako.ni wasukuma gani wenye akili unaowaongelea aisee? acha utani basi.
Wachaga ni watu gani hao? Wamakua ndiyo wana high IQ... watu wa kusini ndiyo ma-geniusI think wachaga au watu wa hulk kaskazini ndo wana high IQ wanaongoza kubeba PhD na Masters
sidhani kama ni kweliUmaskini wa hayo maeneo unasababishwa na ujinga wa serikali yenu.
Hudhani nini sasa hivi mtu ukiambiwa mkoa fulani ni masikini wewe huwa unadhani wanaangalia factor gani?sidhani kama ni kweli
Kama ndivyo Kwa nini Kanda ya Ziwa inaongoza Kwa umaskini,maujinga hovyo,magonjwa na ushamba?Wakuuu za sahizi,
Kwenye safari yangu ya elimu nime bahatika kukutana na wasukuma na wahaya wengi kwanzia shule za msingi mpaka saivi chuoni
Lakini jambo linalo nishangaza ni kuwa hawa jamaa wana akili mingi sana za darasani wengine hata hawasomagi ila combi ngumu ngumu kama PCM NA PCB wanabutua 1 za maana O level ndo usiseme kabisa mkuuu,,,,
Kuna mmoja alikuwa mpaka anamfundisha mwalimu 😆🤔🤔 just imagine aseee
Anaejua historia yao naomba anijuze maana inashangaza sana
Hii imekaaje aseee mbona hawa watu wamejaaliwa hivi sana Mungu.
View attachment 2614449
mnasingiziaja eti shauri ya kula samakiUmetusahau Wakerewe.
wapi nimeeleza kuwa barabara zinajengwa na kabila fulani. Jifunze kusoma kitu ukakielewa kabla ya kuanza kutapika upuuzi wako. nimezungumzia muonekano wa maendeleo ya watu, maisha binafsi ya watu si public infrustructure.Barabara hazijengwi na wasukuma wala wahaya bali na serikali, haya tuambie kabila lako limejenga barabara gani ili tujue, kazi ya kujenga barabara ni kazi ya wananchi, unapima akili ya mtu, utajiri pamoja na umaskini kwa kuangalia barabara? Nyie kweli ni vichaa..... Mkubali au mkatae msukuma na mhaya ni watanzania wenye ubongo wa tofauti
N.B Angalia msukuma kama vile mh Msukuma ni darasa la saba lakini upeo wake amewazidi maprofessor vilaza kutoka makabila mengine.
Acha kubwabwaja kama mla mirungi, miji ya bukoba, Mwanza, kahama, shinyanga, Tabora n.k ni miji ya ovyo?wapi nimeeleza kuwa barabara zinajengwa na kabila fulani. Jifunze kusoma kitu ukakielewa kabla ya kuanza kutapika upuuzi wako. nimezungumzia muonekano wa maendeleo ya watu, maisha binafsi ya watu si public infrustructure.
ExactlyAkili si kitu cha makabila, ni kitu mtambuka you idiota
we fala kweli, wapi nimetaja mji?Acha kubwabwaja kama mla mirungi, miji ya bukoba, Mwanza, kahama, shinyanga, Tabora n.k ni miji ya ovyo?
Wasukuma na wahaya ndio watu wanaomiliki majumba ya maana kama una taka battle ya picha karibu sana.
Nitakuta nabishana na nyampara wa milembe... Very sorry kid.we fala kweli, wapi nimetaja mji?