Mbona wasukuma na wahaya wana akili sana za darasani πŸ€”

[emoji419]mkoa wowotr wenye ndizi nimegundua watu wake wako bright..naunga hoja
Ndizi sio kweli..
Ni mikoa ambayo wakoloni walitangulia wakaweka miundombinu ya shule..
Laki kwa maana ya akili mikoa yenye samaki.
Watu wa pwani wakipata fursa, hasa Wapemba wako very bright
 
Toa wapare toa wachaga hao ni watu wamagashi tu, huwezi kulinganisha na msukuma na mhaya hata siku moja, kama ulisoma CBE hapo sawa wachaga wamejaa pamoja na vyuo vya mipango miji lakini programme ngumu mpe msukuma na mhaya.
Taaluma yangu haihusiani na biashara, japo kuna somo linaingia kwenye uwanja wa biashara tena ni msingi wenyewe.

Ila wapare ndo best, nilisema kwangu binafsi.
 
Yuko sawaa.
 
Kishimba na Tabasamu pia wote ni darasa la saba
 
Ukiwa umesoma TIA na CBE na shule za Arts huwezi kuwajua wasukuma wala wahaya wewe endelea kusoma hotel management ukakutane na hayo makabila yako.
namshukuru Mungu akili yangu haikuwa ya kusoma hivyo vyuo. kwa taarifa tu ni kwamba nimesoma udsm na masomo ya juu zaidi nimesoma Ulaya. pia nimeishi muda wa kutosha Mwanza na shinyanga. ndio maana nilikuwa nauliza wasukuma gani anaoongelea? hawa wanaowaza ng'ombe muda wote au wengine. kama wameumbwa wengine tuambizane.
 
sasa, mbona mimi sikuzaliwa kagera wala mwanza, ila nimesoma na wahaya na wasukuma lakini hawajawahi kunipita hata siku moja. nimeshika namba moja na namba mbili form one hadi form six na wale tuliokuwa tunashindana nao mmoja alikuwa mchaga, mwingine mtu wa mbeya na mwingine iringa kama sikosei. kitu watu wanashindwa kuelewa ni kwamba, akili au IQ haina kabila, inatokana na chakula ambacho mtoto anakula tangia tumboni mwa mamake hadi anapozaliwa na kukua. kuna vyakula vyenye omega3 yingi kama vile ndizi, parachichi na mayai huwa vinasaidia development ya ubongo. pia vitu vingine vinavyosaidia development ya ubongo ni vyakula vyenye madini ya chuma ya kutosha na hivyo utapata kwenye nyema na maziwa (zink). utofauti wetu wa uelewa unajengwa na vyakula ulivyolishwa utotoni. na watu wanaokual vyakula hivyo hawapatikani bukoba tu.

mfano, nilikutana na mhaya mmoja akaniambia hakuna sehemu yenye ndizi nyingi kama kagera. nikamwuliza, ulishawahi kufika Tukuyu au Rungwe (mkoa wa mbeya) akasema hapana. nikamwambia basi kuanzia leo acha sweeping generalization. kwa wale walioishi tukuyu au rungwe, wanajua kuwa mnyakyusa asipokula ndizi anaamini amelala njaa, na kuna maeneo yana ndizi hadi huamini kama kuna majani mengine. kwahiyo kama hoja ni kula ndizi ndio huleta akili, kuna sehemu ina ndizi na parachichi kuliko Tukuyu? pia parachichi ambayo ni substitute ya ndizi kwenye omega3 mbona Arusha na KIlimanjaro yamejaa sana, na ndizi pia? huko hamna watu wenye akili? wasukuma walichobaki nacho ni kuswaga makundi ya ng'ombe wengi ambao hawachinji kula yupo tayari ale ugali uliojaa wanga tu hakuna kingine ili akauze ng'ombe mswahili ale. akili au matope hayo?
 
Mtoa post umetokea kwenye kabila ulilolitaja mwenyewe na unataka ufafanuzi,. Labda nikujibu hivi

## Tumieni elimu yenu kutatua matatizo ya jamii zenu, msiwe mnafanikiwa na kukimbia mji wenu kwenda kwa wengine kama Dar.
##* Wachagga nawakubali kwa kuweza kutumia maarifa yao na kutatua matatizo ya jamii yao na kusaidiana sio kama wahaya mnao amini elimu kama MUNGU wenu
 
Kigezo cha kusema watu flani wana akili kuliko wengine ni kipi?
Binafsi, kusema wana akili naangalia jinsi wameweza kutatua changamoto kwenye maeneo yao.
Fuatilia mikoa ambayo wanachi wenyewe wameweza kumaliza changamoto kama; Ujenzi wa shule za msingi, Dispensari, madawati mashuleni, maji kwa kuchimba visima (kwa sehemu kubwa) nk
Sasa unatuletea makabila ambayo hadi leo karne ya 21 watoto wanakaa chini madarasani ndio unaona wana akili?
Fanya utafiti vizuri.......
 
Wee wee,Kuna mashine za singida,wanyaturu na Waha kutoka kigoma ni balaa japo ni wachache
 
Namba 7 ndo mnaongoza kwa roho mbaya
 
Shule zikifungwa,form six wakiwa mitaani mada za kijinga humu jukwaani huongezeka
 
Kuna mmoja aliwahi kupewa mamlaka mahali. Alikuwa bonge la kilaza. Hawana lolote. Wanaongoza kwa kukariri na kutumia nguvu kusoma. Wazito kuelewa hao. We labda hujui. Bora useme wanyakyusa au wachaga.
Wachaga washapotezwa kwenye elimu. Walivuma zamani sio sasa
 
Zile samaki wanazokula zinawafanya wanakuwa na akili. Wataalamu wanasema mafuta ya samaki yanasaidia sana kujenga akili.
 
Labda wakerewe wengine wanatumia nguvu nyingi kusoma.
 
 
Wahaya viazi wapo wengi tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…