Mbona wasukuma na wahaya wana akili sana za darasani πŸ€”

Acha ujinga nenda, department ya veterinary medicine na BLS kaangalie idadi ya maprofessor wakisukuma na kihaya, mambo mepesi someni nyie wachaga.
We ndo uache ujinga beside kila mtu hapa anasema from their experience wewe sasa inakuuma nn

Niache em
 
Nimesoma SUA pia ila naona wapare na wachaga hasa dpartment yangu, labda ww ulikua huko kwenye ma agrikacha

Btw i saidi wat i said you are allowed kukataa ni haki yako
Utakuwa ulikuwa kampus ya mazimbu huko ndio mmejaa.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ pole usijifanye unanijua sana eti
Nifungulie pm mtoto mzuri, kubishana na warembo huwa siwezi me nidhaifu kwa watoto wazuri kama weweπŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹
 
Hata mimi sijui ila siku hizi tunasngalia pesa mambo ya darasa yalikua zaman
 
Research yako imechukua sample space ndogo sanaaa… huwezi soma Muleba shule ya msingi hadi sekondari alafu chuo kikuu ukasome Mwanza alafu uje na hizo conclusions.
 
Pamoja na genetics lakini ubongo ukipata lishe ya samaki akili inachemka! Kulenu samaki muone mtavyo faulu mitihani na maisha kwa ujumla!
 

Wanakula sana samaki sato na sangara hao samaki wa ziwan wanamadini mazuri ya kusaidia kumbukumbu
 
Mnyakyusa ndo mwenye IQ kubwa.... Mnyakyusa ni Isaac Newton mtupu
 
ni mabingwa wa kusaka vyeti tu lakini ni hopeless kabisa.
Kwa bahati mbaya nimetembea mikoa kadhaa hapa nchini, kagera kwa hao unaowaona ndiyo vinara wa elimu kuna umaskini wa kutupwa. usukumani wala nisiseme. Mkoa wa Tabora ndiyo balaa bora hata Singida. Ukisafiri barabara ya Nzega-Tabora, utashangaa umaskini uliopo eneo hilo, watu bado wanasafiri kwa baiskeli. Ni aibu ndiyo majimbo ya wabunge wanaojiona vinara.

Ukitaka kujua hali za umaskini au utajiri hata ikiwa safarini utaona tu. Ukisafiri nchini, mahali ambako utaona dalili kubwa ya juhudi za watu kuupiga umaskini ni barabara kuanzia morogoro-mbeya-tunduma-sumbawanga. Hasa kuanzia mkoa wa iringa,. Ukishapanda kitonga unaanza kuona hali ya tofauti kabisa. Ni kama umevuka mpaka hauko TZ. Nyanda za juu kusini, hata ukiona mazingira ya miji na vijiji utajua kabisa wakazi wa mikoa hiyo (iringa, mbeya,Njombe, Songwe, Rukwa) hawana nonsense katika kazi na maisha, na hawajali habari ya kusaka vyeti.

Ushahidi ni hata wabunge wa majimbo yaliyo katika mikoa hiyo, ukimtoa Dr Tulia, wabunge wengi hawana mavyeti kubwakubwa kwa sababu wananchi mikoa hiyo huangalia uwezo wa mtu.
 
ungesoma na wamasai ungekuja na habari tofauti.

Hawa jamaa wana akili sana ila sasa nduo mpaka watulize akili πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Umesema kweli, kuna mikoa ina umasikini na ufukara hii nchi na huko wanatoka ma PhD Holders kibao
 
onyesha data za utafiti
 
Kuna mmoja aliwahi kupewa mamlaka mahali. Alikuwa bonge la kilaza. Hawana lolote. Wanaongoza kwa kukariri na kutumia nguvu kusoma. Wazito kuelewa hao. We labda hujui. Bora useme wanyakyusa au wachaga.
[emoji122]
 
Akili za darasani sio dili mkuu. Akili ya maisha ndio kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…