Alikuwa ni nabii na muonaji ndugu job ndugaiKwani yule aliyesema ipo siku nchi hii itapigwa mnada anasemaje
Watanzania sisi ni watu wa ajabu sana, kwa hiyo tangu ameingia wewe uliamini kuna kiongozi pale!?Huyu mama ananipa mashaka sana
Wewe ndio uache porojo. Bunge limeanza kukaa kwenye kamati kuujadili. Tufanye utafiti.Hakuna mkataba huo, aache porojo.
Nimeuliza kaambiwa!?..hayo yaliyofanyika aliyaona au nayo kaambiwa!?Anasema atayaweka wazi yale ambayo yamefanyika nyuma ya pazia, akirudi na wakikaa kamati kuu ya chama
mbowe huwa aimkubali, lakini kwa hili la bandari nipo pamoja naeSijawahi kuwa na shaka na Mbowe, na sidhani kama nitawahi kuwa nayo, siku zote namuamini, wajinga watamuita mfanyabiashara na majina mengine, but deep inside, they don't know him!.
Mbona wabunge (genge la CCM) limeshapitisha? DahNilikua namsikilizambowe anasema mkataba hauna ukomo.
Anasema yupo tayari kuamsha nchi nzima Kama bunge litapitisha
Leo nimeona ameongea kwa hisia sana.
Serikali na Bunge ni CHAUMA uongo? [emoji848]CCM hapa inaingiaje kwamfano?
Unategemea watasema hauna manufaa? Wewe soma lile azimio lililopelekwa bungeni, alafu Soma na hiyo Intergovernmental agreement waliyosaini, utajua kama manufaa yapo au hayapoTusiubeze sana labda una maslahi kwa taifa,tusubiri serikali itoe ufafanuzi
ccm hoyeeee....Wezi wanaongoza Taifa.
Wizi mtupu.