Mbowe anasema mkataba ni zaidi ya miaka 100, hauna ukomo. Ni life time

Nilikua namsikilizambowe anasema mkataba hauna ukomo.

Anasema yupo tayari kuamsha nchi nzima Kama bunge litapitisha

Leo nimeona ameongea kwa hisia sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mzee wa matukio....

Wazee wa siasa za matukio tena.....

Mbowe aimshe nchi gani ?!!!

Iliyo mfukoni mwake?!!!

Watanzania walio wengi wanamuelewa mama ,wanampenda yeye na serikali ya awamu ya 6....Mbowe amerudia ulevi wake ?!!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

#SiempreJMT[emoji120]
 
Mwanza
Mbeya
Arusha
Dar......
Pigeni jaramba......

Bandari ni sehemu NYETI kama mboni ya jicho huko ndo Injini ya Taifa inako kaa

Cc Yericko Nyerere
Jaramba lipi ?!!![emoji15][emoji15][emoji15]

Watanzania wameelewa kuwa bandari inatafunwa......kuibinafsisha ni kuweza kufikia malengo ya kupata NUSU YA BAJETI ya nchi kwa mwaka kutokea bandarini....hizi ni habari nzuri.....
 
Anasema ameambiwa pia Kuna mengi ambayo yatafanyika nje ya mkataba

Binafsi nilichosokitika ni ile anasema dp world wamepewa exclusive rights kwenye ardhi yoyote wanayotaka kwa ajili ya kufanya kazi zao
Haya mambo ya uwekezaji si mepesi....

Ni LAZIMA mkubaliane....mwekezaji naye anaangalia faida....sasa awekeze nguvu zake ,machinery power ,man power ,technology kiwepesi tu ?!!!

Mikataba haiongozwi na hisia.....
 
Aliyosema leo, kama nilisema amelamba asali basi namuomba msamaha. Ametanguliza maslahi ya taifa mbele
Mwanasiasa huyo.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Eti Mlay anasema huwa ANANG'ATA NA KUPULIZA.....Mbowe banaa....mjanjamjanja tu.....
 
Mafisadi ndio wanaopinga uwekezaji huu wa DP.....

Mafisadi hawataki mifumo ya TEHAMA isomane kati ya TPA na TRA.....

Kuja kwa wawekezaji ni MSUMARI WA MOTO KWAO.....

Mbowe anapotosha....

Mbowe ni MWONGO......

#SiempreJMT[emoji120]
 
Naungana na MBOWE, huyu mama wa Kizanzibari ana lake jambo
Muunge hata mguu [emoji1787][emoji1787]

Mama amelifuatilia hilo kwa upembuzi yakinifu....amejiridhisha kuwa UWEKEZAJI huo utakuwa na tija kwa taifa maradufu ya kinachopatikana bandarini....mafisadi ambao Mbowe anawasupport wanataka STATUS QUO iendelee....yaani MIFUMO ya TEHAMA iendelee kutokusomana kati ya TPA na TRA .....

#SiempreJMT[emoji120]
 
Kwa akili ya kawaida tu, kama mkataba hauna kipengele cha duration, at the same time panakuwepo na kipengele cha confidentiality, hapo anayejielewa hatakiwi kuuliza namba 100 iko wapi? common sense kwa baadhi yetu is not common!.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hawa ma CDF wetu uwa wana kazi gani?
 
Nilikua namsikilizambowe anasema mkataba hauna ukomo.

Anasema yupo tayari kuamsha nchi nzima Kama bunge litapitisha

Leo nimeona ameongea kwa hisia sana.
Itakuwa hajapewa fungate
 
Alishamaliza
Unaweza kumsikiliza hapa chini
Mhe. Umeongea vizuri kwa kuangalia maslahi mapana ya Taifa. Asante.
Hawa viongozi hawana uchungu na Mali ya Tanzania bara.

Bunge wakipitisha tu. Natamani Jeshi letu lipindue serikali. Yaani tusipoangalia nchi inauzwa hii.

Viongozi wa CCM acheni unafiki. Mkipitisha tu basi na mlaaniwe ninyi na vizazi vyenu.

Niombe nguvu za asili za nchi hii na hasa Tanganyika amkeni. Enyi miungu mliokabidhiwa nchi hii na Mungu jitokezeni.
Washughulikieni wale wote wanaotaka kupoteza thamani na raslimali za Tanganyika.

Naomba watu hawa wapotezwe kabla ya kupoteza thamani ya urithi wetu.
Watanzania ni wapole. Hivyo enyi wenye enzi ya Tanganyika simameni muwatetee. Naamini Mungu hapendezwi na haya.
 
Umeandika Kwa uchungu sana
 
Wanapenda kama hivi kuuza bandari, loliondo, mara wamekwapua pesa kwenye mradi

Si wezi wenzao wakibanwa wanakuchukia wanakuita DIKTEKA ila ukila nao wanakuambia unaupiga mwingi 😂
Hawa chadomo wanatabia za umalaya malaya, hawaeleweki hata kidogo.
 
Mbowe haelewi anachojiongea, asifikiri biashara kubwa kubwa kama za bandari ni sawa na kuuza bia.


Kinachishangaza kilanuzi wa bandari humu unakuja na porojo, mkataba mnaouongelea mbona hamuuweki?


Tusidanganyane.
 
Kakudanganya na wewe umedanganyika.
Huo nkataba unaoongelewa uko wapi? mbona hauwekwi hapa?
 
Uwekezaji tangu lini uliwahi kuwa na Limit ya Muda? Tuambie DANGOTE amepewa miaka mingapi kule Mtwara?
 
Hii kinga waliojiwekea hawa marais wetu wa mchongo inabidi iondolewe ili kuwawajibisha kwa mambo yao ya hovyo wanayoyafanya.itakuwa ni upumbavu wa hali ya juu kuukubali huu mkataba ambao hata mtu ambaye hajasoma hata darasa ka kwanza hawezi kukubali isipokuwa kichaa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…