Mbowe na CHADEMA mnataka kumkwamisha Rais Samia kwakuwa amewalegezea kidogo?

Katiba ni mchakato, kwanini wanataka jambo hilo kwa kulazimisha? Bajeti ya kuliendea jambo hilo wanayo hao Chadema?
Na mikutano ya hadhara nalo ni jambo la mchakato ndugu Mwananchi?!

Btw, CHADEMA au yeyote yule ana haki ya kudai katiba mpya, na wala sio dhambi kudai katiba mpya!! CHADEMA kama chama cha siasa, nao ni wawakilishi wa hao uliowaita:-
Kuna makundi mengine meengi ambayo nayo yana maslahi yao vile vile kama wao, sasa iweje wao walishikie bango kwa kiasi hiko hadi kutishia kuingia barabarani kufanya fujo?
Hayo makundi mengine na wenyewe, baadhi yao ni wafuasi wa CHADEMA....

Hayo makundi mengine lazima yapate driving force ya ku-demand katiba mpya, ili hatimae, na wao wawasilishe yale wanayoona yanafaa exclusively kwa makundi yao, na taifa zima kwa jumla!!!

Kwahiyo sio sahihi kuaminishina wanachofanya CHADEMA ni hujuma, kwa sababu wana wajibu wa kufanya kile wanachofanya sasa... yaani kudai katiba mpya!!
 
Afanye kama Magufuli ICC sio Mbali
 

Huna haja ya kukasirika,

Swali linasema hivi,

Chadema na mbowe wanataka KUMKWAMISHA RAIS SAMIA KWA KUWA NI MWANAMKE au kwa kuwa ni Muislam?

Mantiki ya hilo swali ni kwamba huyu mama kaonesha Nia ya kufanya kaz na wapinzan,na hata Hilo la katiba hajapinga,anaomba apewe muda...

Sasa kama chadema hawataki kunisikiliza na wanataka kulazimisha inashangaza Sana,that's why tunawauliza swali hilo,Wana ajenda gani??
 

Wapi president SAMIA kakataza wao,chadema wasifanye shughuli zao za kisiasa??

Wapo huko mikoan kila siku wanafanya mikutano,je wamezuiwa??

Kama hawajazuiwa,sasa wanataka nini,

Na katiba hii ni ya wananchi,siyo ya chadema na wao hawana hati miliki ya kutuamulia sisi,they are just politicians
 
Niseme nini tena! Umemaliza kila kitu.
 
Sheria ya Vyama vya Siasa kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2019, Kifungu cha 11 (1) (a) kinasema:-
Wakati huo huo, linapokuja suala la haki hiyo ya kisheria, Mama Samia anasema:-

Sasa how come SSH atoe mipaka ya watu kufanya siasa wakati sheria inatoa haki kwa vyama vya siasa kufanya mikutano popote pale kwenye ardhi ya Tanzania?
 
Huu ni mwaka wa 17 Mbowe anaongoza CHADEMA, ukiwaambia watafute kiongozi mwingine wanaleta stori za Nyerere kuongoza Tanzania kwa miaka 24.
 
Sipendezwi na namna unavyotumia kivuli cha imani yako kuficha madhaifu ya mtawala, hii tabia sio nzuri na inaturudisha nyuma kama taifa.

- Unaposema Samia anataka apewe muda, niambie, apewe miezi au miaka mingapi?

All in all, sikuona umuhimu wowote kwako kuingiza masuala ya imani kwenye mambo yanayohusu maslahi ya taifa, hii kwangu naona ni kuishiwa hoja tu, hakuna kingine, simply unataka kuwapata wa imani yako wenye uwezo mdogo wa kuchambua mambo wakupe support, wacha hii michezo yenu ya kizamani na kishamba.
 
Kwani Samia naye anataka kuanza kuteka na kuua watu?

Kama anataka afanye tu lakini wananchi tunataka katiba mpya kwa mujibu wa sheria ya mabadiliko ya katiba ya mwaka 2012.

Na pia tunataka haki za vyama kufanya siasa zilizoko kwa mujubu aa sheria ziheshimiwe!
 
Kwa taarifa yako madictator wote hutawala muda mrefu, sio kwa kuwa hawapingwi bali huchukua muda mrefu kuwatoa. Mfano Moi, Elbashir, Gaddaf, Mugabe nk. Wote hao hakuna aliyetawala chini ya miaka 10, lakini walitoka kwa aibu na mwingine kifo juu. Kwa taarifa yako hata yule dhalimu angeingia kwenye kilengeo tu, ilikuwa ni suala la mda. Hata hivyo leo yuko wapi? Wakoloni walitutawala kwa zaidi ya miaka 50, tena wakiwa wametoka mbali, wakati huo mababu zetu walikuwa wanawake? Acha upuuzi dogo, kila jambo lina muda wake.

Nasema hivi, usituletee uisilamu wako wa kipuuzi kwenye madai halali, mikutano inayofanyika ni ya ndani, na inatoa madai halali. Isitoshe hawa wanaokataa hii katiba mpya wako madarakani kupitia uchaguzi wa kihayawani, kwanini wabembelezwe utakavyo ww? Ww kadai kwa kubembeleza na hao waisilamu wenzio, atawapa maana mna nidhamu. Unajifanya una uchungu wa katiba kudaiwa kuliko hata hao ccm. Mpuuzi mkubwa.
 

Sasa kipi kibaya alichozungumza??

Wabunge kwenye majimbo yao wako huru kufanya mikutano ya kisiasa na hao viongoz wao pia wanatuhumiwa kufanya mikutano ya ndan na kujenga vyama vyao,

Sasa unataka mbunge wa hai aende akafanye mikutano ya siasa mkuranga??

Mbowe kama mwenyekiti wa chama unadhan akiungana na mbunge wa mkuranga kwenye huo mkutano atazuiwa??
 
Kwanini atoe mipaka?!

Vipi kuhusu vyama ambavyo havina hwabunge, ambavyo kimsingi, ukiondoa CCM, vilivyobaki VYOTE havina wabunge huku bara?!

Vipi kuhusu vyama ambavyo havina uongozi kwenye baadhi ya maeneo wakati sheria inasema wazi kwamba "...for purposes of publicising itself and soliciting for membership." Kumbe, hata sheria inafahamu vyama vya siasa vimepewa hiyo haki ambayo pia wanaweza kuitumia kujitangaza au kupata wanachama!!

SSH anasema wanaoruhusiwa ni Wabunge, tena kwenye maeneo yao!! Sasa kwa takwa lake hilo vyama vitaweza vipi kufanya mikutano POPOTE PALE ndani ya Tanzania ili kujitangaza na kupata wanachama maeneo ambayo hawana uongozi?
 

Hiyo katiba ambayo chadema wanaidai ni katiba ya wananchi wote,siyo wao tuh...

Wananchi kama wananchi,I mean makundi mengine ukiachia hao wanasiasa,hiyo pressure yao ya kuitaka hiyo katiba mbona haipo visible??

Hakuna anaekataa suala la katiba mpya,na hata mama samia hajaikataa hoja ya katiba mpya,ameomba muda...

Sasa kama hao chadema hawataki na wanalazimisha inatupa maswali mengi Sana...

Ni ajenda yao binafsi au ajenda ya Taifa?kama ajenda ya Taifa basi watulie,suala la katiba ni suala linahitaj pia fedha...wao wanayo iyo fedha??
 

Sawa,hivyo vyama ambavyo havina wabunge wanataka kufanya mikutano ya kuikashifu serikali au kujenga vyama??

Kama wanataka kufanya mikutano ya kujenga vyama,je mikutano ya ndan haiwasaidii kujenga chama??

Kama haiwasaidii,na Wana Nia chanya ya kujenga vyama vyao,hiyo siyo hoja ambayo inaweza pingwa ikiwekwa mezan,ambacho wananchi hatutak ni hayo mambo yao ya maandamano na siasa za fujo na matusi,tushahama huko kwenye siasa za kishamba shamba
 

Sawa,hivyo vyama ambavyo havina wabunge wanataka kufanya mikutano ya kuikashifu serikali au kujenga vyama??

Kama wanataka kufanya mikutano ya kujenga vyama,je mikutano ya ndan haiwasaidii kujenga chama??

Kama haiwasaidii,na Wana Nia chanya ya kujenga vyama vyao,hiyo siyo hoja ambayo inaweza pingwa ikiwekwa mezan,ambacho wananchi hatutak ni hayo mambo yao ya maandamano na siasa za fujo na matusi,tushahama huko kwenye siasa za kishamba shamba

Kama,wanataka kutoa aware ness kwa wananchi na elimu juu ya suala la katiba hakuna wa kuwazuia,Ila wasitumie nafas hiyo kuhamasisha vurugu kwa wananchi na kumlazimisha RAIS awape la mpya kwa matakwa yao,hilo haliwezekan hata wao wangekuwa ni Dola
 
Nimesoma hadi mwisho bandiko lako nilipotaka kulisuport mwishoni kabisaa ukaharibu kwa sentensi moja..kwamba kwa kuwa ni muislam..fucking kabisaa ww..udini unaingiage hapo? Kwan ukiwa muislam ndo unakwamisha kwa ajil ya dini yako..hv nyie watu mtalalamika hadi lin na uislamu wenu..aisee mnakeraa kama mavi ya asubuh..
 

Fucking kabisa Mimi,thank you...

Tunakera kama mavi ya asbh,kumbe na wewe unaenda choo pia??

Well,Usikasirike kuhusisha iman yake na jinsia yake katika hoja kama hii,

Mwendazake alikuwa mtu wa misimamo yake hususan katika suala kama hili la katiba,na alisema waz waz siyo kipaombele chake,lakin hawa jamaa zako wakakaa kimya na kuendelea na mambo mengine wengine walikimbia nchi,

Why hawakutaka Tena kumcomfront mwendazake?is it because he was fellow Christan or fear of mkono wake wa chuma??
 
Una point kubwa sana lakini why udini?
 
Alituweza sisi pekeyetu au Taifa zima?

Nan alikuwa Ana nafuu?

Sasa ahuen imeanza kuonekana badala ya wao watulie nchi ipate Aman na utulivu wanaanza leta choko choko
Solutions ya hizo chokochoko zao zikiendelea ni nini? Utamshauri mama awafanye nini? Kwa namna upepo unavovuma ni wazi zinaongezeka kila uchao.
 

Hakuna mtu asiejua umuhim wa katiba mpya,na hoja hii chadema wasifanye ni ya kwao,katiba mpya ni muhim kwa makundi mbali mbali ndan ya nchi hii,

Wao Wana maslahi yao kama wanasiasa na wengine pia tuna maslahi yetu pia,

Samia hajapinga hoja ya katiba,kaomba apewe muda hawa hawataki,wanataka afanyeje??

Mbona mwendazake alikataa kabisa na hawakufanya chochote??na ndiyo maana tunawapa mashit ya roho kuwa hizi mbwembwe hawakuonesha kwa mwendazake because he was fellow Christan??or fear of mkono wake wa chuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…