WAJINGA wengi huwa wanawaza namna hiiHapa umesema kweli! Naona siku za Honey Moon za Mama Samia zimefikia mwisho baada ya siku 100. Mbowe anasahau kuwa huo uhuru wa kumjaribu Mama Samia kaupata kwa Samia mwenyewe. Ingekuwa busara kumpa muda kwa vile aliomba "muda kidogo tu". Wengine tumempa muda.
Welevu mnawazaje? Tusaidieni. TL haeleweki.WAJINGA wengi huwa wanawaza namna hii
Wanaharakati wanataka kumpotezea malengo Rais Samia, wanam-beep.Wapi president SAMIA kakataza wao,chadema wasifanye shughuli zao za kisiasa??
Wapo huko mikoan kila siku wanafanya mikutano,je wamezuiwa??
Kama hawajazuiwa,sasa wanataka nini,
Na katiba hii ni ya wananchi,siyo ya chadema na wao hawana hati miliki ya kutuamulia sisi,they are just politicians
Huu ndio udhaifu wako unaokufanya uonekane mjinga na wengine, kama unaona dini ni bora zaidi ya siasa jitoeni huko serikalini muende misikitini mkafanye mambo yenu, hakuna atakaewafuata huko.You are very very right...
You have just put it in the shortest term known to me.
Thank you,if it's like that then let it be...
Wapinzani wana uzoefu wa haya mambo kuliko mimi na wewe, shehe wangu.Friends and Enemies,
Mbowe na CHADEMA wanataka kutupeleka wapi Tena? Je, ni kweli kwamba walishazoea ile hali ya kupelekwa kibabe na mwendazake na wameikumbuka kisha wameanza kutingisha kibiriti?
Katiba mpya ni suala la mchakato, ni suala mtambuka na jumuishi kwa makundi mbali mbali ndani ya nchi hii.
Wao kama wanasiasa ni kundi moja tuh wenye maslahi yao na katiba hii, na maslahi yao kama chama cha siasa ni kushika Dola, lakini Kuna makundi mengine meengi ambayo nayo yana maslahi yao vile vile kama wao, sasa iweje wao walishikie bango kwa kiasi hiko hadi kutishia kuingia barabarani kufanya fujo?
Rais Samia kaahidi na kaomba apewe muda, hawataki na wanataka kulazimisha.
Magufuli hakuahidi, na alisema siyo kipaumbele chake, waliufyata na kukaa kimya, sasa tunawauliza wanataka KUMKWAMISHA huyu mama kwasababu gani?
Kwa kuwa ni Muislam au kwa kuwa ni mwanamke?
Wana ajenda gani kwani.
Watu wa pwani wana msemo unasema UKICHEZA NA MBWA ATAKUFUATA HADI MSIKITINI
Mama alianza kwa kucheza nao sasa asubiri wamfuate hadi msikitini
Nina uhakika kwa hii miaka 4 iliyobaki mama hawezi kuanzisha mchakato wa kupata katiba mpya na CHADEMA wanalijua hili ila wanatafuta kiki ambazo hazitakua na faida kwao
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ndio udhaifu wako unaokufanya uonekane mjinga na wengine, kama unaona dini ni bora zaidi ya siasa jitoeni huko serikalini muende misikitini mkafanye mambo yenu, hakuna atakaewafuata huko.
Lakini kumtetea mtu anaevunja sheria za nchi kwa kigezo cha dini yake ni upuuzi uliopitiliza.
Kwa namna hii, hakuna mwenye akili timamu atakae kuamini mtu wa aina yako hata kama ukiwa na hoja ya msingi namna gani, jifunze kutofautisha dini na siasa, ukiendelea kuongozwa na mahaba ya dini kila wakati kwenye kila jambo utageuka kichekesho.
Stupid way of life, maisha ya msikitini unalazimisha kuyahamishia kwenye siasa, two different arenas.You call it weakness,
I call it way of life,huelew hivi vitu young bavicha,it will take time for you to catch up with it...
Wanaharakati wanataka kumpotezea malengo Rais Samia, wanam-beep.
Pumbavu kama unaona anakwamishwa Sababu ni muislam au mwanamke mwambieni aachie ngazi akawe mufti mkuu wa bakwata, tabu zote hizo za nini?Wapambe??mpambe ni Kama chawa...
Kwan wewe hutujui vizur sisi?? wenzako mbona wanatujua Sana,sisi tunaitwa magaidi,wafia dini,waislam wenye siasa Kali,wavaa barakashia na makubaz au wakata suruali,hayo ni sample tu ya majina yetu,sisi siyo wapambe...
Ofcourse yes,akinyanyaswa yeyote yule sababu tuh kwa kuwa yeye ni muislam hapo sisi lazima utatuona tuko front kabisa kuicheza hiyo ngoma...
thats why tunawauliza chadema,wanataka KUMKWAMISHA huyu mama kwa kuwa ni Muislam au kwa kuwa ni mwanamke??
Kibaya zaidi anayejitokeza kushindana na Kaka Mbowe siku zote lazima akumbane na fitina. Ni saccos yake anayoitumia vilivyo.Wanafeli,wameitoa hoja na imepokelewa,
Sasa wanataka kutumia nguvu kuilazimisha hoja ifanyiwe Kaz kwa utashi wao,wanasahau kuwa hii ni nchi,kuongoza nchi siyo kitu Cha mchezoo,yeye mwenyewe mbowe ana miaka 17 amekomaa kwenye uenyekiti wa chama na kuondoka hataki unadhan ni kwa nin??
Twende pole pole
Stupid way of life, maisha ya msikitini unalazimisha kuyahamishia kwenye siasa, two different arenas.
Pumbavu kama unaona anakwamishwa Sababu ni muislam au mwanamke mwambieni aachie ngazi akawe mufti mkuu wa bakwata, tabu zote hizo za nini?
unakubali MEKO alikuwa muharibifu bora amenyakuliwa faster?Under mwendazake??
Huo utulivu utokee wapi??
Si walikuwa wanashinda mahakaman hawa daily,umesahau??
KIBOKO yao kavuta now they're pretending to be constitution heroes...
Friends and Enemies,
Mbowe na CHADEMA wanataka kutupeleka wapi Tena? Je, ni kweli kwamba walishazoea ile hali ya kupelekwa kibabe na mwendazake na wameikumbuka kisha wameanza kutingisha kibiriti?
Katiba mpya ni suala la mchakato, ni suala mtambuka na jumuishi kwa makundi mbali mbali ndani ya nchi hii.
Wao kama wanasiasa ni kundi moja tuh wenye maslahi yao na katiba hii, na maslahi yao kama chama cha siasa ni kushika Dola, lakini Kuna makundi mengine meengi ambayo nayo yana maslahi yao vile vile kama wao, sasa iweje wao walishikie bango kwa kiasi hiko hadi kutishia kuingia barabarani kufanya fujo?
Rais Samia kaahidi na kaomba apewe muda, hawataki na wanataka kulazimisha.
Magufuli hakuahidi, na alisema siyo kipaumbele chake, waliufyata na kukaa kimya, sasa tunawauliza wanataka KUMKWAMISHA huyu mama kwasababu gani?
Kwa kuwa ni Muislam au kwa kuwa ni mwanamke?
Wana ajenda gani kwani.
Nautaja coz umeuweka, vinginevyo nisingeugusa, achana na imani ya Samia nxt tym.Brother mbona msikit unakuumiza Sana??
Welcome comrade,the door is open for you to convert in to Islam,
Hakuna sehem tuliposema tunahamishia maisha ya msiktin kwenye siasa,hayo unasema wewe...
Hoja ni kwamba chadema wanataka KUMKWAMISHA RAIS SAMIA KWA KUWA NI MUISLAM AU KWA KUWA NI MWANAMKE??
Korosho ya kangomba au ipi?Mwendazake aliwaweza mmefufuka kibao. Vipi Korosho ulilipwa?
Hawam-beep badala yake wamegundua kumsifia ni kujimaliza kisiasaWanaharakati wanataka kumpotezea malengo Rais Samia, wanam-beep.