Mambo yameanza kunoga kwa wapinzani wa kweli na kuwa segemnege ndani ya CCM.

Tazameni Waitara anavyolia kama mdoli mbele ya wana habari.

Naona sasa mkoa wa Mara unaenda kurudi kwa wana Chadema na safari hii inawezekana tukachukua majimbo yote ya mkoa wa Mara.

Your browser is not able to display this video.
 
Ilimradi kipindi cha uchaguzi zisije Habari
nyingine
 
Ila yule afande naye ni mzinguaji sana. Magereza walipumua alivyo ondoka, ubabe mwingi kweli.

Kuna siku kawatolea macho watoto wa shule anawa 'mind' kwanini hawajui kuimba wimbo gani sijui 🤣🤣

Acha Mura alie tu, maana hana kwa kumbilia, CDM alinyea kambi na akawafanyia vitimbwi vya kufa mtu. Maisha haya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…