Ndoto za mchana. Sahau.
 
Nimecheka sana leo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hii imenikumbusha kale kajamaa kalikopigaga sarakasi bungeni[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Atulie alijisahau kipindi ni naibu waziri akawa anashinda kuwananga Chadema bila kushughulika na matatizo ya jimboni kwake. Asubiri nguvu ya Hechi
 
Namfahamu sana Waitara. Hapo alikuwa anamwaga chozi kwasabb ya ulevi (he shed tears under alcohol influence) . Akishalewa Waitara huwa ndiyo zake kulialia.

Waandishi wa habari waliokuwepo wakiwa wakweli wanaweza kuthibitisha hili.
labda ndo sbb hakushirkishwa. pia labda ndo sbb hakuteuliwa chchte. ajue pia walimvumilia vya kutosha na kuwa anatakiwa awe mvumilivu kama tulivo waTz wengine tunao kabiliwa na madhila mblmbl yatokanayo na shida lukuki zinazotukabili
 
Anawaza uchaguzi badala ya kuwaza maendeleo jinga sana Toka uwaziri ukome akili kidogo zikakoma
 
Ukiona mtu mzima babaaa analia mbele za watu ujuee kun jamboooo🙂
 
Umewahi kushudia mtu kavuta bangi halafu analia bila sababu?!!!
[emoji23][emoji23]

bangi ni hatari sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…