Mbwana Samatta ilikuwaje ukashindwa kumhamishia baba yako ‘ushuani’ ukakubali afie Mbagala?

Kabisa mkuu,kama drogba wetu baba yake anafia mazingira duni sio sifa njema
Mara mia angefia Uingereza?
Ndiyo maana kwa Tanzania Daimond anaoneka ndiyo mwenye pesa kuliko wasanii na wana muchezo.
 
Uswazi ni vurugu tu hakuna raha yoyote
 
Mara mia angefia Uingereza?
Ndiyo maana kwa Tanzania Daimond anaoneka ndiyo mwenye pesa kuliko wasanii na wana muchezo.
Hayo umesema wewe,mazingira yale sio rafiki angefia hata kijichi
 
Kwahiyo kule ni buku buku Tu?
Tena buku ni kumpendelea, wakati mwingine unakula demu kwa mkopo tu kisha unalipa mwisho wa wiki au mwezi. Utashangaa demu hana kazi mjini lakini kila siku yupo mitaani na makazini ku-collect madeni ya watu waliomla. Dar kuna vituko jamani. Ila mademu wanaojifanya wa mjini wanaishi maisha ya taabu Dar, competition imekuwa ngumu kwa hiyo wengi wanajitoa ufahamu wanaamua kutombana na matunda kufurahisha madanga yao kama afanyavyo Lulu Diva. Watu wananunua matunda kula, yeye na wenzake wasiojitambua akili wananunua na kujitomba kufurahisha madanga yao ili wapewe hela na kubaki mjini kujidhalilisha.
 
Hayo mambo yapo,
 
Umemdhalilisha mzee wako. Wachezaji wenzako wa Ulaya wakija kukupa pole watakuona wa ajabu sana.

Sio kwamba wa Masaki hawafi, ila wastaafu hawapendi kelele wanapenda kuishi sehemu tulivu. Mbagala ni ‘ushenzini’
Wewe utakuwa na kaushamba fulani ambako kanasababishwa na kukulia kwenye nyumba za serikali! Lingine ninaloona kwako hujawahi kuwa responsible na wazazi wako vinginevyo ungefahamu kuna wazazi huwezi kuwaambia lolote dhidi ya maeneo yao ya asili. Mzee Samatta ni ex-socer player kwahiyo inaonesha wazi na hata ukimwangilia, alikuwa ni mtu wa kujichanganya na watu! Na watu wa aina hiyo huku Uswahilini tunao hata wakizeeka unakuta bado wanajichanganya na vijana lakini wewe unayejifanya mtoto wa kishua huwezi kuyafahamu mambo kama hayo!!

Sasa unatarajia mtu kama huyo uumpeleke sehemu za kujifungia ndani na bado unadhani atashoboka eti kisa Masaki au Oysterbay?
 
Upo sahihi alichotakiwa Samatta ni kumjengea nyumba mshua wake maeneo yenye utulivu sio tu nyumba nzuri huko mbagala
Tatizo watu wa aina yenu hamjawahi kuishi na wazee wenu! Mzee ambae tangu utoto wake inawezekana anaishi yale maeneo, kumi kwa mmoja atakubali kuhamishwa eti akaanze maisha mapya sehemu ambayo hamfahamu yeyote! Tena kwa hawa Wazee wa Kiswahili ambao wameshazoea maisha ya maskani, unaweza kukuta katika umri ule anaenda kujichanganya kwenye vijiwe vya draft au kubishana soka, unadhani unaweza kumwamisha kirahisi rahisi tu ukamwanzishie maisha ya kujifungia ndani? Wazee wanagoma kutolewa kijijini na kuletwa mjini seuze kumtoa Mbagala?
 
Watu wana taste zao ili kwao maisha yalete maana, moja wapo ni sehemu ya kuishi.
Ukimaliza kumshangaa baba yake Samatta na Mbagala Zakiem, rudi uendelee kumshangaa Kabudi na Singeli halafu nenda kamshangae specialist wa kushindwa (bashite)
 
Thank you- wewe unawafahamu vizuri sana wazee wetu! Na kwa kariba ya wazee kama Mzee Samatta ambae anaonekana wazi ni mtu wa kujichanganya, katu huwezi kumwahamishia Ushuani uzeeni!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…