Mbwembwe nyingi mitandaoni, lakini makazi ya Baba Mkoani Iringa pa kawaida Sana

Mkuu kama HANA hasira nani kamuuliza hayo yote, MPAKA afunguke hapa? Msiishi KWA visasi KISA BABA ulitembea kilomita 20 kuifata elimu UNATAKA na mwanao aishi HIVO, SI KWELI MKUU jambo la YEYE kuto pata malezi ya baba usiwe CHANZO cha chuki
 
Mkuu kama HANA hasira nani kamuuliza hayo yote, MPAKA afunguke hapa? Msiishi KWA visasi KISA BABA ulitembea kilomita 20 kuifata elimu UNATAKA na mwanao aishi HIVO, SI KWELI MKUU jambo la YEYE kuto pata malezi ya baba usiwe CHANZO cha chuki
Andaa mapema maisha yako ya uzeeni. Hunijuwi sikujuwi, endelea kuwaza mimi nina hasira wakati hata hunijuwi.

Endelea kusubiri kuja kulelewa na watoto wakati nafasi unayo ya kuandaa uzee wako
 
Mkuu kama HANA hasira nani kamuuliza hayo yote, MPAKA afunguke hapa? Msiishi KWA visasi KISA BABA ulitembea kilomita 20 kuifata elimu UNATAKA na mwanao aishi HIVO, SI KWELI MKUU jambo la YEYE kuto pata malezi ya baba usiwe CHANZO cha chuki
Kufunguka baba yaje alivyofariki haimaanishi ana hasira.

Again, unaunganisha mambo ambayo hayana muungano, kwa non sequitur logical fallacy.

Look that up.

Non sequitur logical fallacy.

I know you don't know it, that is why you keep repeating it.
 
Andaa mapema maisha yako ya uzeeni. Hunijuwi sikujuwi, endelea kuwaza mimi nina hasira wakati hata hunijuwi.

Endelea kusubiri kuja kulelewa na watoto wakati nafasi unayo ya kuandaa uzee wako
NINA WAZEE NAWAFAHAMU WALIKUA MATAJIRI WA KUTUPWA ILA SASA WAMEFILISIKA HAWANA KITU, UNA MAANA NA WAO WASISAIDIWE NA WATOTO WAO? KISA HAWAKUJIPANGA?
 
Kufunguka baba yaje alivyofariki haimaanishi ana hasira.

Again, unaunganisha mambo ambayo hayana muungano, kwa non sequitur logical fallacy.

Look that up.

Non sequitur logical fallacy.

I know you don't know it, that is why you keep repeating it.
MNACHENGA WAJIBU WENU KWA WAZAZI WENU, DINI ZIMETUFUNDUSHA KUWAHUDUMIA WAZAZI WETU WE UNATAKA TUPUUZIE UKO SAWA KWELI? KUNA MZEE TAJIRI PALE GEITA ALIFILISIKA UNA MAANA NAE WATOTO WAKE WASIMHUDUMIE KISA HAKUJIPQNGA? MSIFOSI UZUNGU ILI HALI NYIE NI WAMATUMBI KUTOKA DARK CONTINENT
 

Hakuna mtu anayesema wazazi wasihudumiwe na watoto, elewa kusoma kwa ufahamu.

Na hili si suala personal ni hoja dhahania, ya kifalsafa.

Kama tunataka kuongea personal,
mzazi wangu ana real estate porfolio ya zaidi ya dola za Kimarekani milioni tano na ana jumba Mbezi Beach anataka kuligawa liwe makazi ya watoto yatima.

Alijenga nyumba zake huko alikotoka na mjini Dar kabla sijazaliwa.

Na mimi pia nilijenga nyumba kabla ya mwanangu kuzaliwa.

Hivyo ndivyo inavyotakiwa.

Matatizo ya kujenga nyumba katika familia yetu tukishayamaliza.

Sasa hivi tuna tatizo jipya, majumba tuliyojenga tuyafanyie nini?
 
Nadhani hili jambo watu watatofautiana kwa mtazamo..
Kwangu mie kusaidia sioni kama ni jukumu langu, ila ni upendo, hivyo kidogo changu kutumia na mzazi wangu, na ndugu yangu ama mtoto wa ndugu yangu ni kitu ambacho kinanipa faraja ya moyo, hivyo kwangu ni burudani kubwa mnoo, mfano nipite sehemu nimchukulie tusamaki twa elfu 50, kuanzia pale nanunua mpaka namfikishia ile qnavyonipokea, shukrani anazonipa huwa najisikia amani ya moyo saana, tofautisha na kujiona mwamba.

Sasa shida ipo kwenye mtazamo, ikiwa kwangu ni burudani ya moyo wangu, isinifanye nimuone asiyefanya kama hana upendo vile, anaweza akawa na upendo na akauonesha kwa njia nyingine, hakuna ulazima wa kumsaidia mtu, ila inatokana na tafsiri ya mtu, kwa wanaoona haiwahusu haina haja ya kuwaona ni wajinga ama wana roho mbaya.

Tatizo huwa linaanzia kwenye kile unachokiamini ama kukiona sawa kutaka wote iwe hivyo kwao, mie naona ni wajibu wangu, si lazima na iwe hivyo kwa mwingine, na wala mie watoto wangu sintowalazimisha waje kunisaidia, natengeneza maisha yangu ya baadae.. sio ya kuwa tegemezi labda yatokee mambo mengine..
Mie kumnunulia mama yangu mboga, wala sijamuongezea kitu ni upendo tu na hata nisipomnunulia hajapungukiwa kitu, ila naona raha tu kufanya
 
Jid anganye huyo mzee alikuwa na hela sana
 
Tabia ya hawa watu ya kutaka watu wote waione dunia sawa na wao ni udikteta.

Ni ushamba.

Ni kutoijua dunia.

Ni kutojua kwamba dunia iko complex, ina mambo mengi, familia ziko complex, zina mambo mengi.

Wewe unaweza kumlaumu mtu hajamjengea baba yake, kumbe yule baba ana kiapo cha utawa cha kutotaka nyumba ya kisasa kwa kuwa anaona anasa.

Au kumbe mzee kaelewa miaka yake ya kuishi ni michache, kashazoea nyumba yake, badala ya kujenga nyumba kijijini ambako hamna watu anyway, bora pesa zielekezwe kwenye kujenga mjini na kusomesha watoto wa familia wawe na maisha bora ya baadaye.

Unakuja mtu huijui familia, hujui vipaumbele vyao, unambenesha mtu lawama za buree.
 
Pengine zile

ambazo angetumia kujenga alikusomesha WEWE, unamsemaje Leo hii? Tujifunze kuwaheshimu wazazi kama kibunda KIPO mpe? Chake ulitumia WEWE, huenda angetumia YEYE Leo hii asinge kuwa HIVO alivo
Huo ni mtizamo wako, usilazimishe na wengine iwe hivyo, kuna wengine wanaenda mbali wanasema ule ni wajibu wao sababu walikuleta wao duniani, tena hamkujadiliana.. 😂🤣

Yote kwa yote mie najisikia amani sana nikimfanyia kitu mzazi wangu, vile qnavyoshukuru najisikia poa saana
 
Sijataka kujua mzazi WAKO anamiliki Nini MKUU, mambo ya kugawa NYUMBA hayanihusu, unapotosha WENZAKO, wanajua MAISHA ya vijijini kwao kishindia MAJI na viazi vitamu, wazazi kuvaa nguo zimechanika matakoni Leo hii una hamasisha WASISAIDIWE wazazi WAO, sikia MILA na tamaduni za kiafrika zinatuyaka KUSAIDIA wazazi hapa ni afrika SIO mamtoni kaka JUA hilo
 
Kama alikuleta duniani BILA ridhaa Yako SI uji uwe unafanya Nini sehemu ulioletwa BILA ridhaa Yako?
 
Umasikini tu huu unawasumbua ukiwa na hela hauwezi kuwa na mawazo kama yako..tembea uone watu wanavyoishi sio kwa mawazo haya..nyumba shilingi ngapi mpaka useme umiliki wewe..

The Real Bilionea alikuwa Mzee Reginald Abraham Mengi, Hawa wengine hamna kitu kwa kweli, ni ulozi na uchawi tu ndiyo wanachokijua
 
Umenilundika katika hilo kundi la watu ambao hawajajenga kwao kwa kusema "mnachenga wajibu wenu".

Ndiyo ninekufahamisha kuwa mimi sina tatizo hilo kwetu kuna nyumba mpaka hatujui cha kuzifanyia. Nimezaliwa nimezikuta.

Wewe tatizo lako ni mshamba hujui kusoma kwa ufahamu.

Habari ya "mila na itamaduni" ni ujinga mwingine wa logical fallacy ya "argument from tradition".

Look that up, I know you don't know it.
 
Shida ipo pale kwenye kulazimisha tufanane mitizamo..

Ifike mahala tukubaliane "KUTOKUKUBALIANA"
 
The Real Bilionea alikuwa Mzee Reginald Abraham Mengi, Hawa wengine hamna kitu kwa kweli, ni ulozi na uchawi tu ndiyo wanachokijua
Sema mzee Mengi alitufundisha kutoa yule Mzee nampa big up sana ndie pia alitufungua macho kuangalia Tv aliweka tv kila mkoa tuangalie mechi za afcon wahuni hawakumpa kibali kurusha Nchi nzima eti kulinda usalama wa Nchi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…