Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Ni mtu mashuhuri JIJINI Dar es Salaam anayesifika kwa biashara ya nguo na dawa za Binadamu ndizo zilizompa Maarufu na kutamba Mjini Kwamba anahela, lakini ukweli ni Kwamba nimefika msibani kwa Baba yake hapa Iringa Mjini alikuwa anaishi Maisha ya kawaida Sana Sasa sijui ndiyo masharti ya Mganga, au ndiyo Hali imekuwa tete sana kama alivyosema Boss Kalewa Sasa wameamua kumtoa kafara Baba yao ili ale mema ya nchi kwa utajiri wa uchawi. Sijui!!!
Muda ni rafiki mzuri, nitaendelea kuwaletea yanayojiri msibani hapa Iringa Mjini, kesho uwanja wa mpira na kule kijijini kilichopo Kata ya Mseke. Bloggers, wasanii, content Creators wote wamekatazwa kuchukua picha mgando na mjengeo nyumbani kwa marehemu ila wameruhusiwa kuchukua picha hizo uwanjani tu, na hata kule kijijini pia familia imegoma picha zisichukuliwe, huyu mwamba hajajenga kwao, Wala hajamjengea baba yake, ni msumbufu tu kama wasumbufu wengine Hana hela Bali ni uchawi tu ndiyo anaotumia.
Naomba nikujibu vizuri tu kama Baba yako hana uwezo mjengee tu utapata mema mengi ya Dunia na kama una kipato watengenezee hata ndugu zako wawe kwenye mazingira ya wao kuweza kujitegemea inapendeza mnapokua kwenye familia karibu wote mnajiweza hii ndio nachoamini mimi sio mmoja mkubwa ndio ana uwezo ila wengine hawapi fursa na wakipewa miguu wanaweza kufanya jambo..Mkuu Naomba unijibu hapa
Kwa nini nikajenge nyumba ya baba?
Sijawahi kuwa na ID nyingine taangu mwaka 2015Huyo jamaa ana ID nyingi Funaku (jingalao) na msaga sumu.
Bongo wengi wanaojifanya kuja kukufariji wakati wa matatizo misiba maradhi etc hawaji kukufariji,washenzi wanakuja na mawili kwanza kuonekana ujue nao walikuwepo jengine kukuchora mazingira ya home.Yani kweli kabisa umeenda msibani kwa watu kuwachunguza, kuwaanika na kuwatweza utu familia ya watu?
Hivi vitu vinataka malezi pia wengi wamekosa malezi ya pamoja kutoka kwa wazazi ndio maana unaona wakitoka home hawakanyagi tena nenda Kilimanjaro uone vijana wanavyojenga nyumba za wazazi wao ndio maana nimesema wengi wenu hela na malezi yamewafanya msione kitu cha muhimu usizunguke huo ndio ukweli..
Hakika, ni ngumuUkiona watoto wana hela, Hawajali ipasavyo wazazi wao, Kuna kitu hakiko sawa kwenye hyo familia.
Ila nijuavyo mm, mtoto ukimlea vzuri ni ngumu sana kukuacha katika mema yake ya baadae
Kilimanjaro ndio mfano wa mambo mengi niliwahi kumsikia Bibi mmoja anasema anatuma hela mjukuu wake alipie Mitihani ya bodi ya uhasibu mtandao unasumbua na siku zipo mwishoni daah nilishangaa sana kwa kweli kuona yule Bibi na anajua umuhimu wa mitihani ya bodi kwa mjukuu wake aisee wale jamaa nawapa Big up sana..Kilimanjaro, bibi analea na kusomesha mpaka wajukuuu, kwa kazi ya kuuza hata mitumba.
Wazazi wa mikoa mingine, wanakimbia hata kuhudumia basic needa za watoto, Mtoto anakua kwa miujiza tu.
Umebahatisha kutoboa huku juu ndo ukoo mzima unajikusanya, kulazimisha fadhila ambazo hawakupanda.
My home is always where i amsometimes a home isn't just a house, it carries memories, legacies, history, a lot of nourishing moments.
where do you get the guts to destroy what you didn't built or contribute to?.
without the consent of the owner, you're just another trespasser.
It's not about cash, it's all about respect.
Akili za kiafrika ndio hizo, mtu hashughuliki na ya kwake anaishia kusimamia kucha kile anachokifanya jirani yake.Yani kweli kabisa umeenda msibani kwa watu kuwachunguza, kuwaanika na kuwatweza utu familia ya watu?
Embu wekeni picha ya nyumba ya huyo mzeeWatu tuna tofautiana, mie kipato changu kinaendana na maisha ya kwetu na ndugu zangu, na kikiongezeka zaidi basi kwetu kutanoga zaidi... kuna shida gani kumjengea mzee vi apartment akawa anakula kodi, mie niwe namiliki ukwasi wa karibia bilioni1,3,5 ama 10, haiwezekani mzee wangu akose kibanda hata cha milioni 30, eti kisa ye alikuwa wapi kujenga, kwangu hapana, ye hakubahatika kuzipata sasa mimi ninezipata kwangu naona ni wajibu yeye aishi vizuri
Kilimanjaro ndio mfano wa mambo mengi niliwahi kumsikia Bibi mmoja anasema anatuma hela mjukuu wake alipie Mitihani ya bodi ya uhasibu mtandao unasumbua na siku zipo mwishoni daah nilishangaa sana kwa kweli kuona yule Bibi na anajua umuhimu wa mitihani ya bodi kwa mjukuu wake aisee wale jamaa nawapa Big up sana..
Inamaanisha kuwa wewe ni tajiri na kuwa unaiwezesha JF kuwa hewani kwa mchango wako wa pesa.Bwana we mi nimeamka asubuhi tu nikakuta nimekua platinum member kwani ina maana gani?
Hizo habari za ni vizuri kuyakumbuka mazingira ya tunapotoka tusipasahau sana ni suala la personal preference.Bongo wengi wanaojifanya kuja kukufariji wakati wa matatizo misiba maradhi etc hawaji kukufariji,washenzi wanakuja na mawili kwanza kuonekana ujue nao walikuwepo jengine kukuchora mazingira ya home.
Well ni vizuri kuyakumbuka mazingira ya tunakotoka tusipasahau sana (hata kama hakutakuwa na mambo ya kuchunguzana kutoka kwa washkaji) ila vizuri sana pakiwa na hadhi nzuri.
Ngoja nifanye utafiti kabla sijakubali.Huyo jamaa ana ID nyingi Funaku (jingalao) na msaga sumu.
Mimi namfahamu kaka yake mkubwa ambae kwa sasa ni mbunge wa iringa mjini ndugu fadhili Fabian ngajiro kaka wa Fred Fabian ngajiroNi mtu mashuhuri JIJINI Dar es Salaam anayesifika kwa biashara ya nguo na dawa za Binadamu ndizo zilizompa Maarufu na kutamba Mjini Kwamba anahela, lakini ukweli ni Kwamba nimefika msibani kwa Baba yake hapa Iringa Mjini alikuwa anaishi Maisha ya kawaida Sana Sasa sijui ndiyo masharti ya Mganga, au ndiyo Hali imekuwa tete sana kama alivyosema Boss Kalewa Sasa wameamua kumtoa kafara Baba yao ili ale mema ya nchi kwa utajiri wa uchawi. Sijui!!!
Muda ni rafiki mzuri, nitaendelea kuwaletea yanayojiri msibani hapa Iringa Mjini, kesho uwanja wa mpira na kule kijijini kilichopo Kata ya Mseke. Bloggers, wasanii, content Creators wote wamekatazwa kuchukua picha mgando na mjengeo nyumbani kwa marehemu ila wameruhusiwa kuchukua picha hizo uwanjani tu, na hata kule kijijini pia familia imegoma picha zisichukuliwe, huyu mwamba hajajenga kwao, Wala hajamjengea baba yake, ni msumbufu tu kama wasumbufu wengine Hana hela Bali ni uchawi tu ndiyo anaotumia.