Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Wako "misinformed and misguided" [emoji1787]Nchi jirani wataenda kutoa mizigo Zanzibar? Muwe mnashirikisha ubongo kabla ya kuchangia. Maza akiwasikiliza nyie nchi itarudi stone age
Hawa Jamaa hawataki Mchezo. Duu sasa Mr Mbowe na Tundu Lissu walikuwa na Maana gani kutudanganya kama Mambo yako Mazuri hivyooooooHofu ni kuongezeka gharama utoa mzigo wako hapo bandari.Je mapato upande wa Serikali.
Sawa. JE, tukiwauzia nchi yote na kila kitu wataanza na DOLLAR NGAPI?DP World siyo watu wa mchezo mchezo, vyanzo vyao vya habari vinasema kwa kuanzia tu wanawekeza Dollar za Kimerekani million 500. Piga mwenyewe hesabu kwa 1fedha za kwetu...
Hakika....Ufanisi wa Bandari utaongezeka.
Kimeuzwa kipi ?Ndio bei tuliyonunuliwa hiyo.
Mbowe ameingelea mkataba mbovu.Mbowe
[emoji1787][emoji1787]Uko desperate....umechanganyikiwa ?!!!Sawa. JE, tukiwauzia nchi yote na kila kitu wataanza na DOLLAR NGAPI?
🤣🤣ene wei
nimechoka mim sion chakuandika ata
Mambo mrembo...😊Kapigwa au kapiga.
[emoji1787][emoji7][emoji7]Mbowe ameingelea mkataba mbovu.
Si mara yao ya kwanza...Hawa Jamaa hawataki Mchezo. Duu sasa Mr Mbowe na Tundu Lissu walikuwa na Maana gani kutudanganya kama Mambo yako Mazuri hivyoooooo
Hii mbinu inaeleweka kwa wanawake tu walio zoea kuhongwa na kudanganywa .DP World siyo watu wa mchezo mchezo, vyanzo vyao vya habari vinasema kwa kuanzia tu wanawekeza Dollar za Kimerekani million 500. Piga mwenyewe hesabu kwa 1fedha za kwetu.
Wataanza kwa kuhakikisha wanaweka mfumo wa kisasa wa TEHAMA unaosomana na na idara zingine zinazohusika papo kwa papo. Mfumo utawezesha kung'amua mizigo imepakiwa wapi, saa ngapi, ipo wapi na lini itafika bandari ya Dar. Pia mteja mwenye mzigo ataweza kuufatilia mzigo wske toka anspoukabidhi kusafirishwa, ulipo na mpaka unamfikia.
Ni mabadiliko makubwa sana na ya jisasa ya kiuendeshaji wa kazi za bandari na tuliyonayo sasa.
Mfumo huo zautaweza kuibua mapungufu ya idara zote zingine zinazozembea.
Mfumo utakuwa na "hot backups" wakati wote, Inamaanisha tusahau bandarini kuambiwa mtandao haufanyi kazi.
Mama anaupiga mwingi kweli kweli.
Mrembo, ebu fanya mpango basi chap nihamie upande wa haki ili tumalize na michakato kwa Sheikh....☺Ma shaa Allah, ni vyema umeliona hilo. Najivunia kuwa Muislam na kuwatetea Waislam wenzangu kwenye haki.
Wewe unaumia kwa Uislam wangu?
Mwekezaji amefanya upembuzi Yakinifu kuja kuwekeza kuchimba madini sehemu "A" unalazimishwaje akachimbe na sehemu "D"....?!!!Makame Mbarawa nae anasema anajisikia fahari kuwa Mtanzania akasema na TPA ni ya Tanganyika tu hauhusuani na Bandari za Zenji
Cha msingi ni kuingiza pesa kubwa kwenye makusanyo ya taifa kuliko ambavyo tungeendesha wenyewe plus ufisadi mwingi. Rais yupo sawa kabisa.Lundo la watu nakuambia over 50Millions wote hatuwezi endesha Jambo dogo kama hilo 'Bandari' mpaka tutafute eti wawekezaji. Watufanyie sisi hatuwezi, Kama vile ni walemavu.
Acha wawekeze kisha tutaona.DP World siyo watu wa mchezo mchezo, vyanzo vyao vya habari vinasema kwa kuanzia tu wanawekeza Dollar za Kimerekani million 500. Piga mwenyewe hesabu kwa 1fedha za kwetu.
Wataanza kwa kuhakikisha wanaweka mfumo wa kisasa wa TEHAMA unaosomana na na idara zingine zinazohusika papo kwa papo. Mfumo utawezesha kung'amua mizigo imepakiwa wapi, saa ngapi, ipo wapi na lini itafika bandari ya Dar. Pia mteja mwenye mzigo ataweza kuufatilia mzigo wske toka anspoukabidhi kusafirishwa, ulipo na mpaka unamfikia.
Ni mabadiliko makubwa sana na ya jisasa ya kiuendeshaji wa kazi za bandari na tuliyonayo sasa.
Mfumo huo zautaweza kuibua mapungufu ya idara zote zingine zinazozembea.
Mfumo utakuwa na "hot backups" wakati wote, Inamaanisha tusahau bandarini kuambiwa mtandao haufanyi kazi.
Mama anaupiga mwingi kweli kweli.
Uwe na uelewa...sio kila siku kushadadia ujinga!.....watakaumia ni wajukuu zako....DP World siyo watu wa mchezo mchezo, vyanzo vyao vya habari vinasema kwa kuanzia tu wanawekeza Dollar za Kimerekani million 500. Piga mwenyewe hesabu kwa 1fedha za kwetu.
Wataanza kwa kuhakikisha wanaweka mfumo wa kisasa wa TEHAMA unaosomana na na idara zingine zinazohusika papo kwa papo. Mfumo utawezesha kung'amua mizigo imepakiwa wapi, saa ngapi, ipo wapi na lini itafika bandari ya Dar. Pia mteja mwenye mzigo ataweza kuufatilia mzigo wske toka anspoukabidhi kusafirishwa, ulipo na mpaka unamfikia.
Ni mabadiliko makubwa sana na ya jisasa ya kiuendeshaji wa kazi za bandari na tuliyonayo sasa.
Mfumo huo zautaweza kuibua mapungufu ya idara zote zingine zinazozembea.
Mfumo utakuwa na "hot backups" wakati wote, Inamaanisha tusahau bandarini kuambiwa mtandao haufanyi kazi.
Mama anaupiga mwingi kweli kweli.
You are a misguided and misinformed chap....[emoji1787]Hii mbinu inaeleweka kwa wanawake tu walio zoea kuhongwa na kudanganywa .
Kuna akina sisi ambao tunataka matokea na tunataka kuona tangu mwanzo hadi mwisho.
Awesome [emoji7][emoji7]Cha msingi ni kuingiza pesa kubwa kwenye makusanyo ya taifa kuliko ambavyo tungeendesha wenyewe plus ufisadr mwingi. Rais yupo sawa kabisa.