Mchengerwa: Yeyote atakayejaribu kuichezea Serikali hatutamuacha salama

Hizi kauli sio na wala hazina afya , haki za binadam zikianza kukiukwa , icc Mchengelwa inamuhusu, viongozi chunga kauli zenu kesho yetu hatujui
Kwani Kuna kipi Cha ajabu kaongea? Amesema wote mtakaojaribu kuvuruga amani ya Nchi mtashighulikiwa na hizo Haki za binadamu hazitawasaidia.

Wasio julikana wamefikishwa kwenye icc ipi Hadi saizi?
 
Nani alikuwa anatoa mkwala kumzidi Palamagamba yuko wapi leo.
Yuko kwake,alitimiza wajibu wake na huyu atatimiza huo wajibu kisha kijiti kwa mwingine.

Uongozi ni dhamani huwezi Kaa kimya watu waharibu Nchi kisa eti kesho hutokuwa Kiongozi tena, upuuzi
 
Fuata sheria hakuna anaechezea Wananchi
 
Fisadi ni yule anayetaka kuuza nchi yetu kwa Waarabu wa Dubai.
Anayekaa kimya bila kuchukua hatua stahiki dhidi ya ubadhirifu unaoendelea nchini.
Mama Abdul na kundi lake.
Hiyo imeenda!
Ubadhirifu upi utaje
Anaetaka kuuza Nchi, uwekezaji ni kuuza Nchi?

Wapotoshaji kama nyie ndio mnatakiwa kukabiliwa vilivyo
 
Your browser is not able to display this video.

Idiot!

Amwambie mama mkwe wake asifundishe watu kuiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…