Board member
Senior Member
- Sep 24, 2021
- 107
- 248
Pole sana bro.Watanzania waoga hivyo alivyoongea kuna watu washatetemeka utaskia "tusameheee mh!! mamkweo anaupiga mwingi baba"!!! Mkikosea tuogope kukosoa maana hamtakubali hata kidogo???
Wewe waziri Tamisemi sio? Karne hii mwalimu kaenda kusimamia mtihani wa taifa darasa la saba analala chini manake Nini??
Naskitika sana nimegombana na mke wangu nimedraivu kwenda kumtoa akakataa Kwa woga atafukuzwa kazi, kapelekwa vijiji vya mbaliii, mwanamke mwenyewe wengine madume, umeme hakuna, analazwa ofisini Tena chini... is that fair??
Ndoa yangu Iko salama hapo? Mkeo angeenda? Au saivi yuko kwenye kiyoyozi na kitanda Cha milioni 7 Toka ulaya kwanguvu ya mamkweo na kodizetu?!!?
Mnawatesa na kuwatisha walimu/wananchi halafu mnafokafoka kama mnajua mnachofanya!!! SHAME
Halafu dunia ina maajabu yake ase. Huyo mkeo ungemlaza chini wewe si angeshitaki kwa wazazi na washenga kwamba unamnyanyasa.
Hawa CCM mungu anawaona!! Nchi hii wameweka double standards za waziwazi yaan. Yaan kuna wala nchi na wajenga nchi.