Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaoa mtoto wa Rais lakiniNikimtazama namwona hamnazo hivi
Ujenzi wa Barabara ya Nyamwage - Utete inasuasua.Hana maana huyo maana Rufiji kumejaa ufukara wa kutupwa hakuna barabara ya maana. Ukitoka pale Temeke Sudani kwenda Mloka unafika saa 12 jioni. Yaani kule kwetu nadhani kuna laana ya maisha. Huyo kafungia Kiredio anaonekana mkombozi kweli apambane na ufukara wa Rufiji yote halafu aje na viroja vyake. Huyu hakufaa kbs kuwa Waziri. Very bogus man.
Serikali ipi na nani katishia maisha ya mwananchi?Kuna lugha ya kuongea Na wananchi.
Kwenye mataifa ambayo watu wanajielewa hutasikia mwananchi akitishiwa maisha na serikali.
Inashangaza mno bongo! [emoji848][emoji848]
Kazi yake ya sasa ni kulinda cheo cha Mama Mkwe..... Period.Mchengerwa ameyasema hayo akiwa Rufiji mkoa wa Pwani.
Swali.
Hivi nchi hii nani anataka kuvuruga amani?
Na Mchengerwa anadhani anatisha wengine yeye kama nani, yeye sio IGP, RPC wala sio waziri wa mambo ya Ndani.
Hii kibri anapata wapi?
View attachment 2747361
"Yeyote atakayejaribu kuchezea serikali hatutamuacha salama hata kidogo, hatutakubali hata kidogo. Misingi ya taifa letu Baba wa Taifa alikwishaiandaa, na sisi vijana wa karne hii tuliopata bahati ya kushuhudia utawala wa Rais wetu wa Awamu ya Kwanza [Hayati Julius Nyerere] tumesema taifa hili litaendelea kuwa na amani na utulivu."
Hii ni hasira kuu,,,,2025 sio mbaliWatanzania waoga hivyo alivyoongea kuna watu washatetemeka utaskia "tusameheee mh!! mamkweo anaupiga mwingi baba"!!! Mkikosea tuogope kukosoa maana hamtakubali hata kidogo???
Wewe waziri Tamisemi sio? Karne hii mwalimu kaenda kusimamia mtihani wa taifa darasa la saba analala chini manake Nini??
Naskitika sana nimegombana na mke wangu nimedraivu kwenda kumtoa akakataa Kwa woga atafukuzwa kazi, kapelekwa vijiji vya mbaliii, mwanamke mwenyewe wengine madume, umeme hakuna, analazwa ofisini Tena chini... is that fair??
Ndoa yangu Iko salama hapo? Mkeo angeenda? Au saivi yuko kwenye kiyoyozi na kitanda Cha milioni 7 Toka ulaya kwanguvu ya mamkweo na kodizetu?!!?
Mnawatesa na kuwatisha walimu/wananchi halafu mnafokafoka kama mnajua mnachofanya!!! SHAME
Serikali inachezewaje kwa mfano? Ningependa hii kauli kali angeitoa dhidi ya ufisadi inge make sense mnoo!!Mchengerwa ameyasema hayo akiwa Rufiji mkoa wa Pwani.
Swali.
Hivi nchi hii nani anataka kuvuruga amani?
Na Mchengerwa anadhani anatisha wengine yeye kama nani, yeye sio IGP, RPC wala sio waziri wa mambo ya Ndani.
Hii kibri anapata wapi?
View attachment 2747361
"Yeyote atakayejaribu kuchezea serikali hatutamuacha salama hata kidogo, hatutakubali hata kidogo. Misingi ya taifa letu Baba wa Taifa alikwishaiandaa, na sisi vijana wa karne hii tuliopata bahati ya kushuhudia utawala wa Rais wetu wa Awamu ya Kwanza [Hayati Julius Nyerere] tumesema taifa hili litaendelea kuwa na amani na utulivu."
Anapoxema "yetu" maana yake nini?! Yeye na mkwewe? Na mkewe? Na wanawe? Au anatuhusisha wote? Ati " hatutamwacha salama". Matamko mengine yanatia kichefchef... loh!Mchengerwa ameyasema hayo akiwa Rufiji mkoa wa Pwani.
Swali.
Hivi nchi hii nani anataka kuvuruga amani?
Na Mchengerwa anadhani anatisha wengine yeye kama nani, yeye sio IGP, RPC wala sio waziri wa mambo ya Ndani.
Hii kibri anapata wapi?
View attachment 2747361
"Yeyote atakayejaribu kuchezea serikali hatutamuacha salama hata kidogo, hatutakubali hata kidogo. Misingi ya taifa letu Baba wa Taifa alikwishaiandaa, na sisi vijana wa karne hii tuliopata bahati ya kushuhudia utawala wa Rais wetu wa Awamu ya Kwanza [Hayati Julius Nyerere] tumesema taifa hili litaendelea kuwa na amani na utulivu."
Ange fafanua hivyo sio kuonekana anawatisha wa Tanganyika jumla,ulevi wa madarakaKule Kibiti na Rufiji kulikuwa "terrorist safe haven"...
Mh.Mchengerwa anaongelea wale magaidi waliokita kambi huko na kutaka kutuchomea moto nchi yetu.....
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hata Wazaramo Kiswahili sio lugha mama kwao.Kibri ni Kiswahili fasaha "kiburi" ni Kiswahili sanifu (kwa ajili ya watu ambao Kiswahili siyo lugha mama kwao).
Unauliza kibri anaipata wapi wakati anakemea watu wanaojaribu kuichezea salama na amani yuliyonayo?
Kwanini huwaulizi wajivuni wanaotaka kuichezea amani? Kibri hiyo wanaitowa wapi?
Au na wewe ni katika hao wanaotaka kuharibu amani ya nchi?
Nikimtazama namwona hamnazo hivi
Mchengerwa ameyasema hayo akiwa Rufiji mkoa wa Pwani.
Swali.
Hivi nchi hii nani anataka kuvuruga amani?
Na Mchengerwa anadhani anatisha wengine yeye kama nani, yeye sio IGP, RPC wala sio waziri wa mambo ya Ndani.
Hii kibri anapata wapi?
View attachment 2747361
"Yeyote atakayejaribu kuchezea serikali hatutamuacha salama hata kidogo, hatutakubali hata kidogo. Misingi ya taifa letu Baba wa Taifa alikwishaiandaa, na sisi vijana wa karne hii tuliopata bahati ya kushuhudia utawala wa Rais wetu wa Awamu ya Kwanza [Hayati Julius Nyerere] tumesema taifa hili litaendelea kuwa na amani na utulivu."
Yeyote anayejaribu kuichezea serikali.Amani ya nchi inachezewa na nani?