Mchengerwa: Yeyote atakayejaribu kuichezea Serikali hatutamuacha salama

Pole sana bro.
Halafu dunia ina maajabu yake ase. Huyo mkeo ungemlaza chini wewe si angeshitaki kwa wazazi na washenga kwamba unamnyanyasa.

Hawa CCM mungu anawaona!! Nchi hii wameweka double standards za waziwazi yaan. Yaan kuna wala nchi na wajenga nchi.
 
Mnyororo wa madaraka
 
Mchengerwa ameyasema hayo akiwa Rufiji mkoa wa Pwani.

Swali.

Hivi nchi hii nani anataka kuvuruga amani?
Na Mchengerwa anadhani anatisha wengine yeye kama nani, yeye sio IGP, RPC wala sio waziri wa mambo ya Ndani.

Hii kibri anapata wapi

ingekuwa kenya huyu ange pewa vidonge vyake na wakojako: "pumbavu zake"
 
Noted
 
Anazungumza ujinga. β€œKuchezea serikali” na β€œkutomasa tomasa serikali” ndiyo nini? Halafu linabebwa na mama mkwe kama Makamba. Jitu hovyo hata kama hili linapewa madaraka kupitia mgongo wa mbunye. Pumbaavu kabisa.
 
Kuitomasatomasa Serikali πŸ˜‚

Nilisema hapa Jf kwamba Waziri wa TAMISEMI ndio anapaswa kuwa Naibu Waziri mkuu kutokana na Jiografia ya Mamlaka yake

Jana nimemsikia Waziri wa TAMISEMI akiuwasha πŸ”₯ Rufiji sasa moto kama Ule si rahisi kuwashwa na Waziri wa Nishati au Wizara nyingine yoyote labda Mambo ya Ndani kama enzi za Lyatonga

Mungu wa mbinguni Uturehemu Sisi πŸ˜„
 
Unauliza kibri anaipata wapi wakati anakemea watu wanaojaribu kuichezea salama na amani yuliyonayo?

Kwanini huwaulizi wajivuni wanaotaka kuichezea amani? Kibri hiyo wanaitowa wapi?

Au na wewe ni katika hao wanaotaka kuharibu amani ya nchi?
Kibri[emoji735]
Kiburi[emoji818]
 
Kwani Kuna kipi Cha ajabu kaongea? Amesema wote mtakaojaribu kuvuruga amani ya Nchi mtashighulikiwa na hizo Haki za binadamu hazitawasaidia.

Wasio julikana wamefikishwa kwenye icc ipi Hadi saizi?
Mwendazake aliponea chupuchupu , akatwaliwa
 
Serikali Ndiyo yenye jukumu la msingi la kikatiba la kulinda wananchi,

Sasa Serikali inatishia usalama wa raia? [emoji848][emoji848]

Hivi anajua kuwa mwananchi ndiye mteja/Mfalme anayetoa dhamana ya kuongozwa kikatiba?

Unamfokeaje boss alokupa dhamana ya uongozi kikatiba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…