Mchengerwa: Yeyote atakayejaribu kuichezea Serikali hatutamuacha salama

Wamasai nao wamebumburuka wameludisha kadi.kidogo kidogo ngoja tuonyeshane makali
 
Ujenzi wa Barabara ya Nyamwage - Utete inasuasua.
 
Kuna lugha ya kuongea Na wananchi.

Kwenye mataifa ambayo watu wanajielewa hutasikia mwananchi akitishiwa maisha na serikali.

Inashangaza mno bongo! [emoji848][emoji848]
Serikali ipi na nani katishia maisha ya mwananchi?
 
Kazi yake ya sasa ni kulinda cheo cha Mama Mkwe..... Period.
 
Hii ni hasira kuu,,,,2025 sio mbali
 
Serikali inachezewaje kwa mfano? Ningependa hii kauli kali angeitoa dhidi ya ufisadi inge make sense mnoo!!
 
Anapoxema "yetu" maana yake nini?! Yeye na mkwewe? Na mkewe? Na wanawe? Au anatuhusisha wote? Ati " hatutamwacha salama". Matamko mengine yanatia kichefchef... loh!
 
Unauliza kibri anaipata wapi wakati anakemea watu wanaojaribu kuichezea salama na amani yuliyonayo?

Kwanini huwaulizi wajivuni wanaotaka kuichezea amani? Kibri hiyo wanaitowa wapi?

Au na wewe ni katika hao wanaotaka kuharibu amani ya nchi?

Amani ya nchi inachezewa na nani?
 

Hili liko wazi. Hata mimi ukinichezea hutabaki salama. Labda iwe jumapili siku ya ibada, kidogo nakuwa na huruma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…