Mchepuko akikuuliza maswali yafuatayo kuhusu mmeo au mkeo unatakiwa umjibuje?

Mzoefu kwenye moja mbili [emoji1][emoji1]
 
Reactions: Luv
Hata siku moja siwezi kujadili mambo ya familia yangu na mchepuko!
 
Muulizeni Samson alikataa kusema asili ya nguvu zake lakini with time alijikuta kusema kila kitu kabla hata ya kuulizwa [emoji108][emoji205][emoji4]
 
Mchepuko nae Ana umuhim wake mkuu
 
Kama mnachepukiana wote mna akili timamu hamtakua na mda wa kuulizana mambo ya upande mwingine. Mikikutana mtafanya yenu bas mmemalizana,,mambo ya kuulizana ni ushamba
 
Umesema vizuri sana na huu ndio msimamo ikiwa hujamwaga hadi ubongo huko mchepukoni
 
Reactions: Luv
Kama mnachepukiana wote mna akili timamu hamtakua na mda wa kuulizana mambo ya upande mwingine. Mikikutana mtafanya yenu bas mmemalizana,,mambo ya kuulizana ni ushamba
Hiv unawezaje kuchepuka na mtu usiemjua hata kwa kias kidogo?? Mchepuko mwenye akili kwa usalama wake lazma amujue mke au mme wa anaechepuka nae, na humjua kupitia kwa anaechepuka nae
 
Michepukooooo mpite msome hapaaa, nataman mtu fulan a some hapa tena kwa vituo haswaaaa.
 
Hiv unawezaje kuchepuka na mtu usiemjua hata kwa kias kidogo?? Mchepuko mwenye akili kwa usalama wake lazma amujue mke au mme wa anaechepuka nae, na humjua kupitia kwa anaechepuka nae
Hapo usianze kuuliza subiri mchepuko wako akwambiw mwenyewe Wala hakuna haja ya kuuliza kabisaa
 
Kila mwanadamu akiwa na HESHIMA na UTIIFU kwa MUNGU Muumba wetu hakutakuwa na michepuko wala madanga.
Jitengeni na zinaa, acheni ukaidi, heshimuni maagizo ya MUNGU.
Amri za MUNGU na mafundisho yake ni kwa faida yenu wenyewe na wala sio MUNGU anayefaidika.
MUNGU aliwapa Amri na maagizo ili ziwaepushe na "kifo cha milele". Ni huruma na upendo tu wa MUNGU kwenu ninyi ndio maana akawapa hizo Amri ili ziwaongoze kwenye Uzima wa milele.
Mwenye masikio na asikie.
 
Mchepuko nae Ana umuhim wake mkuu
Sijasemabhana umuhimu ila hapaswi kuleta maswali ya kutaka kujilinganisha na nyumba kuu. Kwanza anapaswa afahali halingani na nyumba kuu yaani kama ni hela yeye anapata chenchi chenchi za nyumba kuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…