Asipokwambia je?? Huoni kwamba Ni risk Sana kuchepuka na mme au mke wa mtu ukiwa humfaham mme au mke wake?? Sku moja mke au mme wake akikuvizia kukupga Kama humfaham huon kuwa ni hatari Sana kwa usalama wako?? Mchepuko mwenye akili lazma amuulize anaechepuka nae kujua Kama ameoa au kaolewa na nani, pia anafananeje,haya maswali anatakiwa ayaulize kabla hata hawajakulanaHapo usianze kuuliza subiri mchepuko wako akwambiw mwenyewe Wala hakuna haja ya kuuliza kabisaa
Hiv unaweza ukaniambia Kat ya michepuko na wake za watu nan anapendeza Zaid kwa nguo za gharama??? Jibu Ni kuwa michepuko ndo inayoongoza kupendeza na kuvaa nguo za gharama kuliko wake za watu!! Sasa Kama michepuko huwa inapata hela za chenji imewezaje kupendeza kuliko huyo mkeo unaempa pesa nying ??? Pia jaribu kufuatilia watoto wa michepuko ndo wanaongoza kusoma shule nzuriSijasemabhana umuhimu ila hapaswi kuleta maswali ya kutaka kujilinganisha na nyumba kuu. Kwanza anapaswa afahali halingani na nyumba kuu yaani kama ni hela yeye anapata chenchi chenchi za nyumba kuu.
Swali zuri kabisaaAkigomea mzgo,akisema nenda kwa mkeo utasemaje mkuu??
Hiv unaweza ukaniambia Kat ya michepuko na wake za watu nan anapendeza Zaid kwa nguo za gharama??? Jibu Ni kuwa michepuko ndo inayoongoza kupendeza na kuvaa nguo za gharama kuliko wake za watu!! Sasa Kama michepuko huwa inapata hela za chenji imewezaje kupendeza kuliko huyo mkeo unaempa pesa nying ??? Pia jaribu kufuatilia watoto wa michepuko ndo wanaongoza kusoma shule nzuri
Bora umesemaaWengi ya wanaosema hivyo hawajui hasa maana ya mchepuko. Wanafanisha wale wa kuchukuwa kwa dhararu na mchepuko! Ukikutana na mchepuko uliokamilika utakumbuka kwenu?
Mkuu umemaliza maelezo yote asiye elewa hapa aende Mahakamani[emoji23]Sharti la kwanza...Mchepuko anatakiwa kujua mkeo/mumeo ni thamani kuliko yeye.
Pili, mkeo/mumeo Hana madhaifu yeyote ni basi tu wewe shetani kakupitia na umekubali akupitie ndio maana upo nae.
Tatu, ya nyumbani kwako, watoto na mke/mume hayamuhusu, akipata muda wa kuwa na wewe autumie vizuri na wewe maswali apeleke mahakamani.
Nne, Atambue hataweza kukutenganisha na mke/mumeo.
Tano, asijaribu Kwa namna yeyote kufanya chokochoko Kwa mke/mumeo maana mahusiano yenu ndio yataishia hapo na utamkana mara tatu kabla jogoo hajawika.
Rule #1: Mchepuko ni marufuku kujilinganisha na mke kwa namna yoyoteHabarini za asubuhi wadau wa jukwaa hili! Bila Shaka weng wenu Ni wazma, wenye changamoto pia nawapa pole.
Nisiwapotezee muda niende kwenye mada:
Bila Shaka wazoefu wa michepuko mshawahi kukutana na maswali mengi Sana kutoka kwa mchepuko wako yanayohusu familia yako wakiwemo mke na watoto. Pia Kama mnavyojua kwa sis wanaume michepuko huwa tunaibembeleza Sana na huonesha Waz kuwa tunaipenda kuliko wake zetu.
Mchepuko akikuuliza maswali haya utamjibu nn?
• Namzid nini mkeo au mmeo mpaka umeamua kunipenda?
•Kati ya mimi na mmeo au mkeo Nani anakurisha Zaid kimapenz?
Sitembei na mume wa mtuWew huwaulizag mkuu ?
Mme wangu yupi Mkuu?Mchepuko sio lazma awe mme wa mtu!! Michepuko yako huwa haikuulizii kuhusu mmeo??
Nikuulize wewe hata huyo mmoja Mkuu ni yupiUnao weng mpaka wanakuchanganya kuwakumbuka mkuu???
Wanawake wengi hampendagi kuweka Mambo yenu hadharan na ndo maana kwenye huu uz wanawake waliochangia Ni mmoja tu,wengne ni kujifanya kuwa hawajawahi kuchepuka!!! Hongera Sana mkuu Kama hujawahi kuchepukaNikuulize wewe hata huyo mmoja Mkuu ni yupi
Mi nikiachana napata Mwingine,sasa kwann nichepuke mkuuWanawake wengi hampendagi kuweka Mambo yenu hadharan na ndo maana kwenye huu uz wanawake waliochangia Ni mmoja tu,wengne ni kujifanya kuwa hawajawahi kuchepuka!!! Hongera Sana mkuu Kama hujawahi kuchepuka
Naandaa uzi mkuuTupe maujanja kiongozi
NaendaAkigomea mzgo,akisema nenda kwa mkeo utasemaje mkuu??