Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 5,988
- 6,226
Mbona hamja mshukuru Rais wa Muungano Ndg John P Magufuli..View attachment 1386246
Wale wanaolazimisha undugu kukiona cha moto , kwa kadiri ninavyomfahamu mtu huyu ambaye hajawahi kumung'unya maneno naamini kesho kuna watu watakimbia kwa aibu.
Una pointi mhimu hapa inayostahiri kuangaliwa, kuchambuliwa na kuona jinsi gani hili inavyoweza kutekelezwa.Kama Wakina Ujugu waliandika Meseji Aston villa samata apangwe hatushindwi kuvamia Account za mitandao ya kijamii ya Mashirika ya kutetea haki za binadamu pamoja na nchi za wahisani bila kusahau taasisi na vyombo vya kimataifa kutetea haki.
Chadema hakikisheni kila taarifa mnayoandika ya uvunjifu wa haki za binadamu mna-tag hivyo vyombo ili dunia ijue. Kuendelea kukaa kimya ndio silaha Yao Hawa wauaji
Wenye masikio na waSikie. Akili ni nywele kila mtu ana zakeMchungaji Msigwa hana sababu ya kusema lolote ambalo litaonekana kuwa baya kwa mtu yeyote.
Kwa hiyo wenye hofu waondoe hilo, na wenye tegemeo la kusikia shutuma msitegemee kuwa ndivyo itakavyokuwa.
Inatosha kutoa shukrani za dhati kwa ujumla kuwashukuru waTanzania, kwa niaba yake na wenzake kwa misaada mbalimbali, ikiwemo ya hali na mali.
Haitaongeza chochote kwake kushutumu au kuzungumzia mambo binafsi yeye na familia yake.
Hana sababu kabisa ya kuongeza chochote kitakachoonyesha utofauti wa vitendo vyake alivyoonyesha baada ya kutoka kifungoni na wengi waliomtangulia ndani ya chama chake waliotimkia upande wa pili.
Kila mwenye nia ya kutaka kujua amekwishatambua ubovu wa uongozi uliopo sasa unaofanya mambo ya aibu bila hifadhi ya staha mbele za watu.
Mchungaji Msigwa kaonyesha njia, kwamba kuna mambo mhimu zaidi katika maisha ya binaadam kuliko hadaa za kijinga ambazo wengine wanadiriki kuziita siasa.
Bila shaka wengi waliobaki huko CHADEMA sasa wataimarika zaidi kwa kujua kwamba sio kila aliyeko ndani ya chama hicho ananunulika kama bidhaa.
Haya yanayofanywa na CCM sasa sio siasa ni uharamia.
Wenye vidomodomo hawajafanikiwa maishani. Ni mabingwa wa umbeaSure...
Actions speak louder than words!
Actions prove who someone is, words prove who they wanna be
Don't talk, just act. Dont say, just show. Don't promise, just prove.
Actions always prove that words mean nothing.
Najua mchungaji Msigwa Leo atatueleza kwa mini mpwa wake alienda kuoa kidemu cha ukoo Wa washamba huko chato wakati iringa kuna mademu wa nguvu tu pale KitanziniMjipepetue weeee mara paaaaap! Msigwa aachana na CHADEMA na kujiunga na CCM ndio mashavu yatakapo washuka
Mchawi MTU sio pakaSiasa za kipumbavu sana anazofanya pole pole..
Ha ha ha ha ha! Mkubwa umekumbusha enzi, ahsante sana. Halafu kesi ipo kwa Mwenyekiti ni Marijani Shabani au Said El Maamry...hii inanikumbusha Simba walivyomsajili Yussuf Bana, halafu Yanga wakamsajili mchezaji huyohuyo kwa jina Yussuf Ismail.
Ahsante ankoo, sikulijua hiliKiufupi ni kwamba, mtoto wa JPM ameoa mtoto wa dada yake Msigwa. Inaonekana ndugu wa Msigwa wameenda kuomba msaada kwa JPM wakiwa na kianzio cha 2M.
Sasa hawa ndugu, kwanini hawakuipeleka ofisi za CDM hiyo 2M ili iunganishwe na michango mingine ya wananchi kumtoa ndugu yao?
Sent using Jamii Forums mobile app
πππMchango wa mh Rais umesaidia sana,
Chadema iliomba msaada wa michango Kwa wananchi wote Na Rais JPM kaitikia ombi lkn pia familia ya mchungaji msigwa imeomba msaada kutoka Kwa Rais Na Rais kakubali ombi, tatizo linatoka wapi?
Hongera sana Kwa Rais
Nikuulize wwe mimi sijaonauliona hata risiti ya malipo ?
Umemsaidia nini wewe zombie ?.Sasa Msigwa akiongea hovyo, tunamrudisha mahakamani, achunge ulimi wake, si anaringa tumejaribu kumsaidia hataki, sasa akienda mahakamani tena hakuna msaada tena hata akiita Magufuliiiiiii njooooooo baba njooooo Mh. Rais njoooooooo hakuna tena kumsaidia.. Shauri yake π π π
Dah taasisi ya ikulu imepata washahauri wapu.mbafu mpaka wanamuingiza rais kwenye ujinga huu.
Shetani ana vitiko jamani nyie acheni tu! Ila muda wa shetani unaelekea ukingoniLakini Msigwa alikataa kupanda gari ya serikali aliyoandaliwa na kutembea kwa mguu hadi nje ya gereza walikokuwa wafuasi wa Chadema ambao wamemlaki kwa shangwe na sasa anaelekea makao makuu ya Chadema, eneo la Kinondoni ili kufanya mkutano na wanahabari.!
Matusi mnayo nyie mnaowaita watu wazima na PhD zao wapumbavu tena hadharani.Andika na list ya matusi watakayomtukana...
Plus majina watakayomwita
[emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Matusi mnayo nyie mnaowaita watu wazima na PhD zao wapumbavu tena hadharani.
Sent using Jamii Forums mobile app