Mchungaji Msigwa agoma kupanda gari za CCM, alakiwa na wana-CHADEMA

Mchungaji Msigwa agoma kupanda gari za CCM, alakiwa na wana-CHADEMA

Kama Wakina Ujugu waliandika Meseji Aston villa samata apangwe hatushindwi kuvamia Account za mitandao ya kijamii ya Mashirika ya kutetea haki za binadamu pamoja na nchi za wahisani bila kusahau taasisi na vyombo vya kimataifa kutetea haki.
Una pointi mhimu hapa inayostahiri kuangaliwa, kuchambuliwa na kuona jinsi gani hili inavyoweza kutekelezwa.

Erythrocyte
,Mkuu 'lunatoc', ngoja nikuitie mwakilisha mahsusi, pengine anaweza kulifikisha hili wazo mahali panapofaa.

CHADEMA wakifahamu kuzitumia hizi mbinu vizuri, kazi yao ngumu inaweza ikahimirika kidogo, kuliko kutumia nguvu nyingi kumkabili adui aliyetayari hata kutoa roho za watu ili akidhi matakwa yake.

Chadema hakikisheni kila taarifa mnayoandika ya uvunjifu wa haki za binadamu mna-tag hivyo vyombo ili dunia ijue. Kuendelea kukaa kimya ndio silaha Yao Hawa wauaji

Erythrocyte,
Nakuita tena uliangalie hili jambo.

Hii vita ifanyeni iwe baina ya 'PoliCCM' versus 'Teknolojia', hapo mtaweza kuwa na nafasi ya 'kusavaivu'
 
Mchungaji Msigwa hana sababu ya kusema lolote ambalo litaonekana kuwa baya kwa mtu yeyote.

Kwa hiyo wenye hofu waondoe hilo, na wenye tegemeo la kusikia shutuma msitegemee kuwa ndivyo itakavyokuwa.

Inatosha kutoa shukrani za dhati kwa ujumla kuwashukuru waTanzania, kwa niaba yake na wenzake kwa misaada mbalimbali, ikiwemo ya hali na mali.

Haitaongeza chochote kwake kushutumu au kuzungumzia mambo binafsi yeye na familia yake.

Hana sababu kabisa ya kuongeza chochote kitakachoonyesha utofauti wa vitendo vyake alivyoonyesha baada ya kutoka kifungoni na wengi waliomtangulia ndani ya chama chake waliotimkia upande wa pili.

Kila mwenye nia ya kutaka kujua amekwishatambua ubovu wa uongozi uliopo sasa unaofanya mambo ya aibu bila hifadhi ya staha mbele za watu.

Mchungaji Msigwa kaonyesha njia, kwamba kuna mambo mhimu zaidi katika maisha ya binaadam kuliko hadaa za kijinga ambazo wengine wanadiriki kuziita siasa.

Bila shaka wengi waliobaki huko CHADEMA sasa wataimarika zaidi kwa kujua kwamba sio kila aliyeko ndani ya chama hicho ananunulika kama bidhaa.

Haya yanayofanywa na CCM sasa sio siasa ni uharamia.
Wenye masikio na waSikie. Akili ni nywele kila mtu ana zake
 
Sure...
Actions speak louder than words!
Actions prove who someone is, words prove who they wanna be
Don't talk, just act. Dont say, just show. Don't promise, just prove.
Actions always prove that words mean nothing.
Wenye vidomodomo hawajafanikiwa maishani. Ni mabingwa wa umbea
 
Mmm slow slow anahitaji akapikwe kwenye chungu cha porcelain huko uchina
 
Mjipepetue weeee mara paaaaap! Msigwa aachana na CHADEMA na kujiunga na CCM ndio mashavu yatakapo washuka
Najua mchungaji Msigwa Leo atatueleza kwa mini mpwa wake alienda kuoa kidemu cha ukoo Wa washamba huko chato wakati iringa kuna mademu wa nguvu tu pale Kitanzini
 
..hii inanikumbusha Simba walivyomsajili Yussuf Bana, halafu Yanga wakamsajili mchezaji huyohuyo kwa jina Yussuf Ismail.
Ha ha ha ha ha! Mkubwa umekumbusha enzi, ahsante sana. Halafu kesi ipo kwa Mwenyekiti ni Marijani Shabani au Said El Maamry.

Lakini kuna jambo ambalo sijui CCM kama wanaliona. Kuna resentment katika jamii. Hao wanaonekana ni sehemu tu hatujui kina cha hiyo resentment.

CCM inaishi kwa dola bila kujali hatari ya kutokuwa na taasisi imara.
Watu wanapoanza kutilia shaka eneo kama mahakama kuna tatizo hapo. Huko duniani yalianza hivi hivi.

Kuna message inapatikana kwa tukio hili. Nawashauri sana CCM wakatae tume huru ya uchaguzi au katiba kwa muda hadi hapo umma utakapomaliza muda wa kusoma vitabu vya Shah wa Iran, Caessisuc wa Romania n.k Kwa haya yanayoendelea kuna uhakika vitabu vinasomwa, swali, ni lini vimalizwa kusomwa?

Pascal Mayalla
 
Kiufupi ni kwamba, mtoto wa JPM ameoa mtoto wa dada yake Msigwa. Inaonekana ndugu wa Msigwa wameenda kuomba msaada kwa JPM wakiwa na kianzio cha 2M.
Sasa hawa ndugu, kwanini hawakuipeleka ofisi za CDM hiyo 2M ili iunganishwe na michango mingine ya wananchi kumtoa ndugu yao?


Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante ankoo, sikulijua hili
 
Pale Ikulu ina-stoop so low inaanza kubishana nani kamlipia Msigwa kwanza? Bora wangenyamaza, aisee.. 😳

Issue hapa ni people's power wlikuwa na uwezo wa kumlipia na wakamlipia!
 
Mchango wa mh Rais umesaidia sana,
Chadema iliomba msaada wa michango Kwa wananchi wote Na Rais JPM kaitikia ombi lkn pia familia ya mchungaji msigwa imeomba msaada kutoka Kwa Rais Na Rais kakubali ombi, tatizo linatoka wapi?
Hongera sana Kwa Rais
👏👏👏
 
Sasa Msigwa akiongea hovyo, tunamrudisha mahakamani, achunge ulimi wake, si anaringa tumejaribu kumsaidia hataki, sasa akienda mahakamani tena hakuna msaada tena hata akiita Magufuliiiiiii njooooooo baba njooooo Mh. Rais njoooooooo hakuna tena kumsaidia.. Shauri yake 😅😅😅
Umemsaidia nini wewe zombie ?.
 
Dah taasisi ya ikulu imepata washahauri wapu.mbafu mpaka wanamuingiza rais kwenye ujinga huu.

Kwa mwendo huu inawezekana kabisa hakuna washauri; badala yake kuna court jesters ambayo kazi yao nyingine ni kupokea tu maagizo kama yanavyotolewa na kuyatekeleza bila maswali.
 
Lakini Msigwa alikataa kupanda gari ya serikali aliyoandaliwa na kutembea kwa mguu hadi nje ya gereza walikokuwa wafuasi wa Chadema ambao wamemlaki kwa shangwe na sasa anaelekea makao makuu ya Chadema, eneo la Kinondoni ili kufanya mkutano na wanahabari.!
Shetani ana vitiko jamani nyie acheni tu! Ila muda wa shetani unaelekea ukingoni
 
Back
Top Bottom