Mchungaji Msigwa agoma kupanda gari za CCM, alakiwa na wana-CHADEMA

Mchungaji Msigwa agoma kupanda gari za CCM, alakiwa na wana-CHADEMA

Hamna bank slip hapo.
Kuna mtu kutuma slip chadema waliyolopia hapa jukwaani.
tapatalk_1584029496911.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapi nimesema Wewe umefungua uzi ?
.
.
Nimesema napenda kuona TAIFA, mpaka hapo nazungumza General kwa Wote kwani Wewe ndio Taifa ?
.
.Channel Hizo uchwara huwaga wanaandika habari Sizo kupata Subscribers
Hapana Haufi, Sitoki [emoji41][emoji41]
Mm huwa namdhauri mtu anaekuja na majibu eti NIMEONA KULE U TUBE ,namuona kama ni mgeni wa mambo hapa mjini ambae anategemea taarifa zake YouTube

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari,

Hii ni baada ya Polepole na team yake ya Lumumba kujaribu kutafuta Kiki ya kisiasa kupitia hukumu ya viongozi wa Chadema.

Naona walizidiwa akili, documents za ushahidi wa malipo Chadema wamezitoa lakini ccm hawajazitoa.
Imeandikwa:
Mkimbieni shetani nae atawakimbia.
Huyu ni mchungaji na andiko hili analifahamu na amelitendea haki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari,

Hii ni baada ya Polepole na team yake ya Lumumba kujaribu kutafuta Kiki ya kisiasa kupitia hukumu ya viongozi wa Chadema.

Naona walizidiwa akili, documents za ushahidi wa malipo Chadema wamezitoa lakini ccm hawajazitoa.
Hahhaaaaa mnataka asimame ili akane mshiko aliopewa na kiyembi? Au mnataka afukuzwe chama aambiwe kaliliwa na CCM?
 
Back
Top Bottom