Mdude Nyagali akamatwa na Polisi mkoani Mbeya. Aachiwa huru bila masharti

Jamani vijana wenzangu, tubadilike ifike sehemu, sisi kama vijana wasomi wa nchi hii tuwe chachu wa mabadiliko katika jamii yetu kiuchumi, kisiasa, n.k

Lakini pia niwashauri vijana wenzangu tusiwe kama huyu mdude, hana ustaratibu wala heshima kwa viongozi wa nchi hii hata kama hakubaliani nao kiitikadi, n.k, lakini haimanishi ndo utumie lugha isiyo na staha kwa viongozi.

Hata kama kuna walakini katika kuchaguliwa kwao katika nyadhifa hizo, katiba na sheri za nchi zinatutaka kuwaheshimu viongozi wetu.

Aina ya siasa anayofanya mdude, haikubaliki katika jamii iliyostarabika. Kutumia ubabe, nguvu na kupayuka payuka haikupi ruhusu kudharau viongozi wako, kwa kisingizio cha kuwasemea watu.

Kwanza mdude ana elimu gani au maarifa gani ya kuwa msemaji wa watu katika nchi hii au huko Mbeya anakotoka? Tuwe seriously vijana tuache cheap popularity haitatusaidia.
 
Samia alishasema kuwa yeye na Magufuli walikuwa kitu kimoja. Huyu atakuwa dikteta wa kizanzibari kutawala Tanganyika, watanganyika mpo?
 
Viongozi walioingia madarakani kwa wizi wa kura hawafai kuheshimiwa
 
Aachiwa huru? Pigo kubwa kwa wazee wa legacy!!
 
Hii ni fact. Mdude atumie akili kuna siku Chadema itamchoka. Kwani ukipiga nondo bila kashfa na matusi hueleweki?
 

Kwanza nadhani kabisa waliopaga Taharuki Ni polisi! Sijui kuwa Kama ku a jamii yoyote iwe huko aliko yeye Mude au Kwingineko wamesoma hayo maandiko yake wakapata Taharuki!

Lakini pia hakuna chombo chochote Cha habari ambacho kimerepot Jamii kupata Taharuki kutokana na maandiko ya yanayoitwa ya Mdude Nyagali.


Mashaka zaidi Ni kwamba Ni wachache Sana ambao nadhani Ni hao polisi ndio wamepata Taharuki juu ya maandiko hayo. Kabla hatujaendelea mbele Ni vyema tukajua nini maana hasa ya neno Taharuki:
Taharuki ni mbinu ya kusimulia au kuandika riwaya/hadithi kwa kufanya hadhira na/au wahusika wajawe na hamu ya kutaka kujua kitakachotokea baadaye; hamu ya kutaka kuendelea kusoma/kusikiliza. Baadhi ya hadithi huishia kwa taharuki na kuilazimisha hadhira yake ijikamilishie au ibaki ikijiuliza maswali.

Sasa Bwana Mdude Ni mtaalamu wa kuandika hadithi na riwaya? Na Kama ipo Basi tusogezewe karibu na sisi tuzisome tuone kama tutapata Taharuki..

Huuu unatafsiriwa Kama utendaji mbovu wa Jeshi la polisi usiokuwa wa kisomi na kiuweledi Bali kulinda matakwa ya wanasiasa walipio madarakani . Kuna wakati mwingine ukweli mchungu lazima usemwe haijalishi inauma namna gani au umanlenga Nani! Japo binafsi Kuna wakati sikubalini na Mdude kwa namna ya uasilisaji wa like anachokiamini.

Masikitiko yangu Ni kumshikilia kwa saa 5 na baadae kumwachia huru bila tamko au kwenda mahakamani ilihali wameshakjkumu "maandiko yake yamezua Taharuki" na sio kwamba yanadhanaiwa yataleta au kusababisha
 
kuna watu wanatamani utawala wa jiwe urudi, ili sasa hivi awe hajulikani alipo. πŸ˜€ mbwa watu.
 
Huyu hajapewa asali ya maridhiano naona yeye na Heche ndio wanatumia Lissu yupo kwenye waiting list akilipwa tu na mikutano itakwisha

Tulimuonya raisi Samia kuwa hawa barvicha hawa bebeki akaleta upemba ona sasa

USSR
Lissu anadai pesa yake aliyoporwa na waroho wa pesa, huenda walizipeleka China kuzificha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…