Mdude Nyagali akamatwa na Polisi mkoani Mbeya. Aachiwa huru bila masharti

Mdude Nyagali akamatwa na Polisi mkoani Mbeya. Aachiwa huru bila masharti

Wala sio njaa..

Wewe umuuzaji wa biashara na nikawaida yako kuuza umeandika mawasiliano yako mwenye uhitaji akutafute kwahiyo huwezi kufanya mawasiliano ili ufanye biashara yako?
Weka mawasiliano kupitia ofisi yako sio namba zako binafsi. Fikiria una biashara kubwa ambayo kwa siku inafikiwa na watu labda 1000+ halafu umeweka namba zako binafsi pale, hali itakuwaje?

Ni lazima tujue kutofautisha maisha yetu ya kibiashara na yale binafsi, unapokuwa mwanaharakati unaekosoa serikali kuna misingi unpaswa kuiishi sio unakuwa uchiuchi tu.
 
Back
Top Bottom