real
Kwanini mkuu
I mean this time toka alivokamatwa then kuachiwa na kurudi kukamia kama hakijatokea kitu means kishakua recruited Ili Kuna watu wanatafutwa yeye anatumika tu Sasa hivi. Time will tell.
 
MAPUMBAVU HAYA YALIYOKOSA KAZI ZA KUFANYA SHENZI TYPE. /
Watanzania sio wajinga kiasi hicho, mmezoea kuwageuza watanzania wajinga ngazi zenu za showoff ili mpate ulaji.
 
Tungojee vifo vya Wananchi kwa kupigwa na Mapolisi lohh Majangaa nchi yetu ya Kibongo, Wabongo wameshachoka na utawala wa CCM.
 
In short anaongea ujingaaaaa!
 
 
"Watazungumza na viongozi wote wa dini wawaambie waumini wao kwenye makanisa.......".
Mdude kachanganyikiwa.Kasahau kuwa waislamu hatuingii makanisani.Hatatupata kabisa. Nakusudia hana diplomasia ya kukushanya watu wafanye analolipendelea. Si mwanasiasa kabisa. Sasa watu wakishaandamana wakamuondoa raisi wataongozwa na nani.Yeye au Dr Slaa. Hawawezi kabisa.
 
Tunatarajia Mdude ataongoza haya maandamano. Sisi tunasubiri aongoze ili tuungane naye. Shime Mdude usikose kwenye hili. Kituo cha kuanzia ni kipi?

Maandamano amani ni haki kwa mujibu wa Katiba. Atakuwa mwenda wazimu atakayepanga kuyazuia kinyume na katiba.

Kamanda Mdude hata kama hatayaongoza wapiganaji mbona wapo lukuki?

Wanasema wavumao baharini ni papa ..
 
Maandamano amani ni haki kwa mujibu wa Katiba. Atakuwa mwenda wazimu atakayepanga kuyazuia kinyume na katiba.

Kamanda Mdude hata kama hatayaongoza wapiganaji mbona wapo lukuki?

Wanasema wavumao baharini ni papa ..
Mkuu ni sawa. Natarajia Mdude ashiriki ili aone ni kwa namna gani wananchi wanaungana naye. Kutokushiriki kwake kutapelekea maswali mengi dhidi yake. Vipi akae nyumbani huku sisi tunaandamana! Huku kwetu huwa tunasema "shikeshike na mwenyewe nyuma". Nawe kwenye hili nakushauri pia.
 
Tunahesabu kufika leo bado siku 27 tuone huyu MPUMBAVU mvuta bangi atafanya nini!!
 

Uzuri ni kuwa hizi ni jitihada za ukombozi na si kwa maslahi binafsi.
 
Kuna mtu kanufafanua huyu jamaa nadhani hayuko mbali na hali halisi alivyomuelezea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…