Mechi ukitolea pesa lazima ushinde kwa magoli mengi mwisho ya siku mnaweza kuwa sawa na mpinzani wako kwa point!

Na ukapigwa mechi 4 mfululizo wakati hao unaowasema wakiwa washaondoka
Hiyo 4 yanga keshapigwa sana hivi sasa tunaona mnavyonunua mechi nyie subirini caf kusiko na kali ongala wa mecky mexime wala penalty za mchongo magoli ya offside!
 
Hayo magoli fungeni tu ila point nyaku nyaku haziachiwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…