Membe waonee huruma Hawa wake wawili wa Musiba kama umewakatalia viongozi wa dini

Musiba alipomtukana Membe alitumia utashi wake na wala hakuingiliwa na mtu, vivyohivyo membe anapodai haki yake mwacheni kama mlivyomwacha Musiba wakati ule
 
Lini ulimsikia Msiba kaimba msamaha? Unawezaje kumsamehe mtu ambaye hajakili kosa lake? Huyo jamaa ni kiburi na jeuri acha wamnyooshe iwe mfano kwa Hawa chawa wa sasa hivi.
Msiba alitakiwa kuomba msamaha.
Tena angeitisha wanahabari kama alivyofanya mwanzo.
Na angewajumuisha wazee wa busara ili watie nguvu.
Nini kinamzuia kuomba msamaha hata sasa?
 
Aisee.. Kweli alikuwa yuko kwenye kiwango cha self actualrisation. Cha ubora wake wa kuvimba. "Joka la kibisa" yan alisikia kichefchefu jinsi Ndg Membe alivyokuwa anaharibu ulaji. Na kumkosesha Rais raha.

Hapo panasomo kubwa.
Ha..ha..ha
Umenikumbusha Nadharia ya Abraham Manslow. Mambo ya human needs.
Kumbe mwamba alifika katika hatua ya Self-actualization.
 
Jana amekupigia kupitia namba 0727 2393** saa Tano asubuhi ukamjibu, "Niko kikaoni" ilhali ulikuwa Dodoma Hotel na Naibu Waziri. Jamani mambo yenu Yako uchi.[emoji3064][emoji848]
 
Kama Kuna wakati Sukuma Gang kumsaidia filimbi yenu Musiba ni Sasa. Kabudi, Bashiru, Kalemani, Waziri wa Sheria na Katiba uliyedhamiria kumzamisha Samia na kampuni yenu Greatwall Restaurant msaidieni mwenzenu. Membe anawazamisha.


Maaapyaaa
 
Kumbe chawa wa Musiba mko wengi.
Kuna maaskofu kule, wewe, P Mayala n.k.
Mbona hamkumuombea msamaha kabla kesi haijaanza?
Mlidhani atashinda? Sasa shindweni nyie.
Najua na wewe Kama wengine utakua umenunuliwa kwa Bei Chee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…