FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Amsamehe kwa lipi na mtu alisema ukweli?Maskini amsamehe tu,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amsamehe kwa lipi na mtu alisema ukweli?Maskini amsamehe tu,
Musiba alipomtukana Membe alitumia utashi wake na wala hakuingiliwa na mtu, vivyohivyo membe anapodai haki yake mwacheni kama mlivyomwacha Musiba wakati uleNaomba niseme kwa ufupi sana, Mwera Bernard Membe ana hasira na chuki ya wazi kwa mtukanaji Ciprian Musiba. Hali hii Sasa ni Tete.
Yono anatangaza mnada wa mali za Musiba Ijumaa na wanunuzi wameshajaa ofisini kwa Yono na miongoni mwao ni waliotukanwa na Musiba. Membe amekataa ushauri wa kila kiongozi wa dini kusamehe. Binafsi simjui Membe lakini kama vile umma unamlilia Musiba?
Halafu wanafiki wanamuombea msamaha.Lile tusi, lilinisikitisha sana, alimsakama sana Lissu licha ya kupigwa risasi zote zile,
Hata awe Rais Cha msingi alipe Deni law watu kesho.Tusubiri tuone..Mara paaah.. anasafishwa awe balozi..ohoo..Tz mnaijua?!
Msiba alitakiwa kuomba msamaha.Lini ulimsikia Msiba kaimba msamaha? Unawezaje kumsamehe mtu ambaye hajakili kosa lake? Huyo jamaa ni kiburi na jeuri acha wamnyooshe iwe mfano kwa Hawa chawa wa sasa hivi.
Ha..ha..haAisee.. Kweli alikuwa yuko kwenye kiwango cha self actualrisation. Cha ubora wake wa kuvimba. "Joka la kibisa" yan alisikia kichefchefu jinsi Ndg Membe alivyokuwa anaharibu ulaji. Na kumkosesha Rais raha.
Hapo panasomo kubwa.
Kama wewe ni shabiki wake msaidie siyo kutaka kulea wake zake.MIMI NI SHABIKI WA MUSIBA
NIKO TAYARI KULEA HAO WAKE ZAKE.
EBU NIPE KONTACKI MWAMBA.
Wakati anaropoka hakujua kama ana familiaMkuu adhabu ni kali mno
Ana familia mkumbuke
Angekua mshamba angekua anafanya usenge wake bure,keki ya taifa hailiwi na washamba mkuu, alikua anajua anachokifanya,acha gari bovu limuangukieKuwa mshamba ndio usamehewe Acha afilisike ili WAshamba wengine wajifunze kuwa defamation ni kosa la jinai
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Hamna, CCM wote kimyaMaskini amsamehe tu,
Mwisho wa safar tutajua nani ataumia zaidi, kipyenga kishapigwaHuenda aliyosema Musiba ni kweli na ukweli unauma ndio maana anashindwa kumsamehe.
Mkuu mbona unatoa maoni kwny hili jambo km vile uko kwny kamati ya membe ya kutoa msamahaMsiba alitakiwa kuomba msamaha.
Tena angeitisha wanahabari kama alivyofanya mwanzo.
Na angewajumuisha wazee wa busara ili watie nguvu.
Nini kinamzuia kuomba msamaha hata sasa?
Sio maskini mwenzako huyo,hela za serikali na kodi za wananchi haziliwi na maskini MkuuMaskini amsamehe tu,
Ataanza upya kama JOBLESS wengine, ni wakati wa yeye kuoneshwa MAKALI sasaMkuu adhabu ni kali mno
Ana familia mkumbuke
Nenda kamuokoe sasa. Wakati akitukana si ulikuwa ukimshangilia?Huenda aliyosema Musiba ni kweli na ukweli unauma ndio maana anashindwa kumsamehe.