Member gani ameku-inspire katika jambo fulani

Mimi hance mtanashati nimewa inspire wengi humu.
 
Kigezo ni madini yake, suala la ushabiki wake ni jambo binafsi.
Akipunguza huba iliyokithiri kwa Wanamagharibi, atafika mbali sana. Madini yake nachota kama kawaida, lakini aache kabisa kuivaa Urusi.

Nikitulia, ntamuuliza atwambie jinsi Tanzania ilivyonufaika na wataalamu wabobevu na madaktari bingwa kutoka Urusi enzi hizo.

Yaani ile ukiambiwa tu fulani huyu kasomea Urusi, unasema Ewaaa! Mtu si huyu sasa!

Lakini hizo zote jamaa hazioni. Yeye anaona tu vifaru vya Abrams na makombora ya ATACAMS. Bure kabisa!

Nachelea hata kusema kwamba nchi yetu inaendelea kuwa maskini kwa sababu ya uwepo wa vimbunga vya watu wa namna yake.
 
Yeah!
Natumia fursa hii kuwaombea msamaha wale wote waliopigwa ban na Mods.
Mods wasameheni wale wote mliowapiga ban natumai wamejifunza na hawatarudia makosa. Ikitokea wamerudia mnipige ban kwa niaba yao.
 
Shukrani sana Mkuu, barikiwa πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…