Member gani ameku-inspire katika jambo fulani

Mkuu sasa kama huna baya inamaana jambo lolote kwako ww sawa tu.

Unatutisha kwenye hilo mkuu, Maana sote tunajua kuna mambo mengi mabaya sasa iweje ww usiwe na Baya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…