mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Wote ni washambuliaji!! takwimu stahiki za kupima washambuliaji ni idadi ya magoli waliyofunga!! Kwa kigezo hicho Messi hastahili hata kushindanishwa na Haaland!! Takwimu zinambeba Haaland!!Zama ndo takwimu au?
Usiulize majibu mkuu!! Tunam,heshimu sana Messi, lakini tuukubali ukweli kuwa enzi yake inabaki historia!! Haaland ni habari nyingine kabisa!! Wala huwezi ukathubutu kulinganisha gari kubwa la kisasa (Haaland) na gari lililopitwa na wakati japo enzi zake lilitisha (Messi). Tutaendelea kumtembelea Messi kwenye jumba la makumbusho, lakini kwenye viwanja vya soka, tutaenda kumtazama Haaland!! Kura yangu kwa HAALAND.
Wapishi ni viungo!! Tungekuwa tunashindanisha viungo tungewapima kwa kiasi cha Assist zao kwenye magoli!! Kwa washambuliaji inabidi wafungane kwanza kwenye ufungaji wa magoli ndio tuanze kuangalia idadi ya assist!!Nje na kufunga Halaand anakipi cha ziada? Tuanzie hapa kwanza
Kafanye mambo mengine achana na mpira.Wote ni washambuliaji!! takwimu stahiki za kupima washambuliaji ni idadi ya magoli waliyofunga!! Kwa kigezo hicho Messi hastahili hata kushindanishwa na Haaland!! Takwimu zinambeba Haaland!!
Haaland 56 - 41 Messi.
Wapishi ni viungo!! Tungekuwa tunashindanisha viungo tungewapima kwa kiasi cha Assist zao kwenye magoli!! Kwa washambuliaji inabidi wafungane kwanza kwenye ufungaji wa magoli ndio tuanze kuangalia idadi ya assist!!
Mi naamini messi huyu anaye elekea ukingoni akipelekwa team ya norway atakuwa na machango mkubwa kwenye team kushinda haalandMESSIAH wa soka mpaka milele. Wanaompa Haaland ni team Betting wa EPL. Mpira sio kuvizia na kufunga. MCHEZAJI lazima awe anacheza kiteam na kusaidia wenzie kutimiza majukumu Yao. Muhim zaidi lazima uchangie katika ushindi wa tema
Messi anachukua mchana tu.
Mambo ya kusema zama za Messi zimeisha ni ujinga na upumbavu. Hakuna tuzo ya zama, ni tuzo ya ubora. Messi achukue Mara kumi ili kukomeasha kabisa kubguru wengine kufikia rekodi zake
Mi naamini messi huyu anaye elekea ukingoni akipelekwa team ya norway atakuwa na machango mkubwa kwenye team kushinda haaland
Duuuuh, watu wengine bhana!mi naona halland ni mfungaji mzuri lakn sio mchezaji mzuri
Sidhani kama anajua kuzipigaHalaand anagoal la freekick kwenye carrier yake?
Erling Braut Halland deserve it.
Circumstances zilizomnyima Andres Iniesta 2010 ballon dior Ndio hizo hizo zinatakiwa zimnyime Messi ballon dior mwaka huu.
Kaema is a bitch[emoji27]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hana majukumu mengine zaidi ya kufunga. Ila ngoja tuone unachokusudia kukisema kama kina mashiko , msimu uliopita wa EPL, CF gani amemzidi Haaland kwa assists!?Nje na kufunga Halaand anakipi cha ziada? Tuanzie hapa kwanza
🤣🤣🤣Halaand anagoal la freekick kwenye carrier yake?
Wengi wanaweka hisia kwenye huu mjadala, with zero facts!
Wengi wanaomuunga mkono Messi, ni kwakua tu ni mashabiki wake wa miaka na miaka. Na wengi wanaomuunga mkono Halaand, ni mashabiki wa Ronaldo wanaotaka Messi asishinde ili "tukose wote".
Ngumu sana kufanya mjadala wa maana na watu wa namna hii.
Sidhani kama kuna mtu amebeza kiwango cha haaland hasa kwenye ufungaji tatizo ni anaye shindanishwa naeMessi ni mchezaji Bora wa muda wote duniani, hakujawahi kuwa na sina uhakika kama Dunia itakuja kupata mchezaji mwenye kipaji kumzidi Messi au kulingana naye.
Yote kwa yote, ni mpumbavu au zuzu tu anaweza kuona Haaland ni mchezaji wa kawaida.
Chifu, kuna mtu hapo juu anasema Haaland sio mchezaji mzuri, kama Huku sio kubeza kiwango cha Haaland ni nini!?Sidhani kama kuna mtu amebeza kiwango cha haaland hasa kwenye ufungaji tatizo ni anaye shindanishwa nae