Hizi ni takwimu za Lionel Messi na Haaland kwa msimu uliopita ambapo mmoja wao ataibuka mshindi wa tuzo za Ballon D’or hapo October 30 mwaka huu.
View attachment 2742095
Ungekuwa unapiga kura, kwa takwimu hizo hapo juu ungempa nani kura yako?
Haweji kukujibuEmbu elezea alivyobebwa asee,
Haaland.
Messi anabebwa tu na media, ila hana mpira wowte kwa sasa.
Waulize PSG au Man City wangempa nani ?
Pamoja na yote msimu uliopita katika timu husika Messi na Prima Donnas wenzake walichofanya katika timu husika wangepaswa kupondwa mawe...., Kwa pesa wanayopata alafu kuleta u-superstar ndio maana walikuwa wanazomewa..... (Mashabiki walikuwa na furaha to see the back of him); Kwa hilo tu mimi hata kwenye shortlist nisingemuweka (You must give your all to the Supporters, Pungufu ya hapo ni Ufisadi kama Ufisadi mwingine tu)
Takwimu zinasemaje? Halafu umecheki mechi yake na ecuador jana?Enzi za Messi zimekwisha. Hii ni tuzo ya Haland.
MESSI kwa sababu ya WC last year.
Aisee Messi mnyama. Halland Scorer ila Messi aisee anatengeneza goal.
Haweji kukujibu,Embu elezea alivyobebwa asee,
Haaland
Takwimu zinasemaje ? Unajua kwamba Ballon Dor ni predominantly kwa wachezaji wanaocheza Ulaya ?; Being that as it is kati ya hao wawili wamefanya nini huko Ulaya katika ligi zao husika na Champions League ?Takwimu zinasemaje? Halafu umecheki mechi yake na ecuador jana?
Bila shaka wewe ni shabiki la Barcelona 😂Uzi uko na vituko sana huu. Kuna mtu anatutishia Jude Bellingham, like seriously?
Jude ni level ya akina Pedri na Gavi. Mnajaribu tu kumpa hype isio ya lazima. Four good games, tayari mnamuona wa maana. Hivi mnamjua bwanamdogo wa kuitwa Jamal Musiala?
Takwimu zinasemaje ? Unajua kwamba Ballon Dor ni predominantly kwa wachezaji wanaocheza Ulaya ?; Being that as it is kati ya hao wawili wamefanya nini huko Ulaya katika ligi zao husika na Champions League ?
Ukimaliza kuleta hizo stats ni-tag tuje tuendelee....; Na mwisho wa siku Messi, Neymar and Company wakiwa PSG kulingana na uwekezaji wame- achieve Big Time..... ? (Zote hizo nazokupa ni Stats)
Unajua wapiga kura na watoa tuzo ni kina nani na wanatoaje Tuzo ? Ndio maana hii Tuzo sio umahili wako per se bali pia ni vipi una mahusiano mazuri na wenzako na you don't rub people the wrong way, sio necessarily unafanya nini ; Ukiwa na ngozi ya kunguni au mtu wa kuwapa Dry waandishi tegemea kipigo ila ukiwa happy go lucky na waandishi upo nao close usishangae ndio maana hata kina Owen walishinda hii TuzoSawa mwalimu, basi wafuate wapiga kura na watoa tuzo uwape stats zako
Wana Madrid pure wanadai eti kijana ni Zidane mtupu.
Yeah of course PR ya uingereza ina nguvu sana Rashford, Dele Alli, Walcott, Saka etc wote wanapambwa