Mfano wa jengo la Chadema makao makuu

Mfano wa jengo la Chadema makao makuu linalotarajiwa kujengwa hivi karibuni.
View attachment 2225211

Chadema wapunguze kuongea vitu vya kufikirika waanze utekelezaji sio kila siku kutoa mchoro toka mwaka 2012 hadi leo kuna michiro mingi sana ya makao makuu lakini hadi leo hakuna utekelezaji! Chadema wanapenda sana story za picha zenye rangi!
 
Tutachanga.
 
Safi sana CDM mkifanikisha hili mtakuwa mmepiga hatua nzuri san, kile kibanda cha pale ufipa ni fedheha saana.
 
Haters.....
 
Utapeli huo wanafanya Simba sports club kupitia yule Muhindi Barbara, ndio wamechangisha ela wapenzi wa Simba wakiwadanganya wanajenga uwanja kumbe utapeli mtupu.
 
"Sisi tunajenga chama mioyoni mwa watu."

Nakumbuka huu ulikuwa ndiyo utetezi wa muda wote kuhusu ujenzi wa jengo la ofisi za chama.

Hakikisheni kuna uwazi kwenye umiliki wa hicho kiwanja otherwise mtajenga kwenye kiwanja cha Mwenyekiti.😁.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…