KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,828
- 12,320
stata tunafahamu Arusha matajiri wake hutokana na biashara ya madini pamoja na utalii vitu ambavyo huvipa heshima Nchi yetu...
hebu tujuze hao unaotaka tuwaite mabillionea wa Dar nini vyanzo vyao vya mapato
Ali Dakote ndiyo nan mwenzetu?? Hujui hata spelling za majina and U feel fit to discuss billionaires and non billionaires.. Wabongo bwana mfyuuuuux.. Get lives mawivu tu hatupendaniiiiii R.I.P kaka was ur banker miaka hiyoooo ya 2001
Kwanza hiyo sehemu aliyopigiwa risasi ni porini,wanaishi wamasai nyumba zao zimetawanyika sana sasa unajiuliza ilo deal uko porini deal ganibwanaeeh, watu wengi ndio mnamjua ila msitake kutuambia mnafaham kila bness aliyokuwa anafanya,na km ni halali,yy na Mungu ndo wanajua! Sio kutetea tu!
...haiwezekani mtu from no whr akuue halafu asichukue kitu chochote
..za kuambiwa changanya na zako
Mkuu..kwa nini usiache tu kupoteza mda wako kwa kubisha mambo usiyokua na elimu nayo? Sio busara na nidhamu kulazimisha ukijuacho wewe ndo kiwe sahihi..kama ni bilionea au sio bilionea inakupa tija gani..mkuu mada ya msingi ni kapigwa risasi..tudadavue hilo..waza utakula nini leo na familia yako na sio ukae hapa mpaka chozi lataka toka eti erasto ni bil or not..
Kukosea spelling ya jina ni kitu cha kawaida wala haishangazi kwani hakuna binadam ambayo hajawahi kukosea. Mfano mzuri ni wewe ambae hujui unayeandika kingereza cha "u",,"ur",,,au majibu ya Mulugo waliyoRisiti bado nayo 0-0?
Wivu ningemuonea Bill Gates sio huyo Tshilingionair au Zibwabwenair.
Mwisho kabisa we jinsia gani maana hapo kwenye sijui "mfyuuuux" unanipa wasi wasi,,maana kama dada/mama zetu wanaoendaga mwezini sitojibishana na wewe.
Hivi hizi simu tuli-register za nini? au kwajili ya kujua nani marehemu ili wakombe fedha?
Inakuaje watu wanatumia simu zilizorejistiwa kufanya uhalifu?
Afu huyu bilionea kwanini hakwenda na dereva au mlinzi? au huwa anafanya biashara za dili ? na hata ka ni ivo, si angemwambia nenda pembeni?
Get a life.. Umekalia kubishania hela za wengine we mwenyewe mia mfukoni huna.. Kalagabaho.. I won't dignify this conversation further..
Wakati ambao watu wanathamini mali kuliko uhai, kumbkeni kuwa thamani ya mali ni uhai. Mko bze kuwekeza kwnye makazi muda, mmedharau makazi yenu ya kudumu kwa kiburi na majivuno. Kumbuka ewe mwanadamu dhalimu Mungu hahitaji dhahabu na fedha zako bali moyo safi. Haijalishi maskini wala tajiri, Mungu ajua madhaifu ya kilammoja na hukumu ni sawa na hayo. "Ee Mungu mapenzi yako yatimizwe duniani na mbinguni." Mlaze mahali panapomstahili ndugu yetu.Mbona kama watu mnajivunia umasikini?,,,sizitaki mbichi hizi au ni wivu tu??!
Labda kwa hela za madafu ndo umuite billionaire.
hawajakimbia na briefcase wapigwa risasi tu bila kuchukuliwa hata kitu...akome kudhulumu watu....
Mi ndo mana siupendi ule
mkoa wasijue una hela utaishi roho juu juu yan risasi, visu, sumu vyote
vinakuhusu..!!!
sasa sielewi inakuaje na utajiri ule bado ananunua mwenyewe mzigo na kusafiri nao namna ile
anyway, its difficult to leave the old habits
labda awe amekudhulumu wewe, kwa tunaomjua vizuri hana hiyo tabia kabisaaaa atakuwa ameianza kwako.
Get a life.. Umekalia kubishania hela za wengine we mwenyewe mia mfukoni huna.. Kalagabaho.. I won't dignify this conversation further..
Inashangaza Bilionea hana mlinzi wala Dereva, tena anafanya mazungumzo maporini wakati ana ofisi.
bilionea anatia saini tu deals baada ya 'Technocrats' wake kukamilisha kila kitu !..........ndio maana tunawaelimisha hawa wajinga wa Arusha waache ulimbukeni.
Kwa taarifa za TRA, anayeongoza kulipa kodi Arusha ni 'mtengeneza na muuzaji wa viroba' na hakuna mtu wa madini. Wengine wanalipa kodi baada ya 'ambush' za TRA.
Kwanza hiyo sehemu aliyopigiwa risasi ni porini,wanaishi wamasai nyumba zao zimetawanyika sana sasa unajiuliza ilo deal uko porini deal gani
Issue za uongozi zimeingiaje hapa,hiyo ndio mada,acha upumbavu wewe,udini na ukabila ndio umaskini wa akili yako bhahau wewe...na hawa jamaa wa mikoa hii ndio wenye kutaka uongozi wa nchi kwa udi na uvumba. toka waanze kuusaka uongozi wa nchii hii matukio mengi ya kutisha yametokea,lakini haraka sana huruka viunzi na kusingizia watu wengine, hawa jamaa ni balaa hata baba na mama na watoto wanaogopana atakayemuwahi mwenzie. Mungu aiepushe nchi na hawa balaa