KERO Mfumo wa Ajira Portal unatutesa, mamlaka husika ifanyie kazi changamoto hii

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Mwenye shida na ajira portal lete changamoto yoyote kama unashindwa kujisajilli au tatizo lolote karibuni.

Karibuni wakuu.
kuna mtu kajisajili mwaka jana kaweka diploma wakati yeye ni NTA LEVEL 5 sasa anataka kutoa kipengele cha diploma inagoma akifanya editing afanyeje
 
Ajira portal imekuja kunyima ajira kwa vijana na si kutoa ajira kama ilivyotarajiwa mwombaji amesoma kuanzia certificate mpaka degree kaweka cv yake pale unahitaji kuomba kazi ya diploma iliyotangazwa

Kufuta cheti cha degree ni changamoto sana
Msaada kwa anayejua kama naweza update hiyo issue kufuta chet cha degree
 
Sasa mkuu wew una degree unataka ukashindane na wenye diploma?
Omba kazi ya level yako ukapimwe
 
Eti Kuna sehemu ya kuweka leseni kwenye mfumo Kwa clinical officers ?
 
Eti Kuna sehemu ya kuweka leseni kwenye mfumo Kwa clinical officers?
 
Hivi Kuna sehemu ya kuweka leseni kwenye mfumo Kwa clinical officers na je sehemu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…